Ukifa unazaliwa tena

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ulikosa hela ya gesti mseleleko mbaya sana
 
To yeye hataki kuwa mwenyeji wangu. Halafu huku jeyefu mna mawazo ya kishetwan

Yaani ulikuwa unabakwakwawaaa kilahisi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu ana kaa chumba kimoja then unaenda unasema ndio mwenyeji wako
 
Yaani ulikuwa unabakwakwawaaa kilahisi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu ana kaa chumba kimoja then unaenda unasema ndio mwenyeji wako
Alikuw na chumba na sebule. Ile K ukipewa wewe ndug zako watakusahau
 
UONGO

Mtu anapokufa, maana yake nafsi / roho imeondolewa na mwili unaozea chini na kuwa udongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…