Ukifa unazaliwa tena

Deja vu
 
ukifa unazaliwa tena kwingine lakini unakuwa kiumbe kingine mfano unaweza kenge au swala..
 
Uje ,inyala,ituha vipo kede
Sasa nakujaje wakati sina mwenyeji πŸ˜ƒ
Kuna dada mmoja alikiw mwenyeji wangu sehemu panaitwa Mwidu mbele kidogo ya Ubena Zomozi Chalinze, hapo cha ajabu ana chumba kimoja na bwana ake. Sikulala nilikesha mlangoni mpaka asubuhi.

Yule jamaa anasema shemeji njoo ndani ulale utaumwa na mbu hapo nje nikawa nazuga napata upepo ndani ni joto. Asubuhi nilipanda bus kutoka moro bila hata kuaga. Yule jamaa alivyofika ndani tu alibali na boxer huu so ufala huu nani aende akalale 😊
 
Utalala lodge
 
Uko vzr mwaka huu
 
Kama ni imani basi uwanja mpana sana wa uhuru kuchagua kuamini au kutoamini kilichoandikwa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…