Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Kama ni uwongo mbona hawapendi kufa ili wazaliwe tena?M
h ya kweli haya?
Inafikirisha sana mpaka unashindwa kuelewa hii DuniaMimi nipo njia panda
Bora ingekuwa waziInafikirisha sana mpaka unashindwa kuelewa hii Dunia
Kuna mambo mengi yamejificha, yaani mradi tupo tu
Kuna wahindi wanaamini kabisa wakifa wanarudi na kuwa viumbe wengine kabisa ila inategemea eti na dhambi zako
Mmoja nilimwambia ukifa unataka uwe nani akasema Mbwa sababu anazijua yeye maana nilicheka mpaka nikakaa chini
Mkuu tofauti na mwili wako kuna wewe ,ukifa wewe unaweza chukua mwili mwingne kwenye tumbo la mama mjamzito baada ya miezi mi tatu kutimia , jambo hili sio tu huko mwenyewe nina mengi ya kushangza ila kutokana na iman za watu inabidi ninyamaze tu yaishie tu moyoni.Kama ni uwongo mbona hawapendi kufa ili wazaliwe tena?
Afu inakuwaje kiumbe kilishapoteza kumbukumbu na kuzaliwa upya kikakumbuka ya nyuma tena?
Je inshu ya genetic hormones inayoambatana na kizazi hadi kizazi imepotelea wapi hadi huyo kiumbe azaliwe kwa wazazi wengine upya?
Kwanini azaliwe akiwa Binadamu lakini asiwe mende, nyangumi n.k?
Inafikirisha
Inawezekana ma feminist walikuw wanaume wakazaliwa wanawake ndio maana hawataki kupelelewa moto
Hata wewe ukifanyiwa hypnosis tutajua umeshaishi mara ngapi na je Duniani tu au pia Sayari za mbali.Afu inakuwaje kiumbe kilishapoteza kumbukumbu na kuzaliwa upya kikakumbuka ya nyuma tena?
Ni lazima urudi nyumbani kwanza huko 5th Dimension, hapa tupo 3rd Dimension na hapo 4th Dimension ndio kwenye Astral plane ambako wajuzi wanaacha miili yao wanakwenda tembea na kurudia miili yao.Roho inaachana na mwili na kwenda kuanzisha maisha mengine kwa umbo jingine.
Mkuu tofauti na mwili wako kuna wewe ,ukifa wewe unaweza chukua mwili mwingne kwenye tumbo la mama mjamzito baada ya miezi mi tatu kutimia , jambo hili sio tu huko mwenyewe nina mengi ya kushangza ila kutokana na iman za watu inabidi ninyamaze tu yaishie tu moyoni.
ReincarnationKuhusu mtu anaenda wapi baada ya kifo imebaki kuwa fumbo kwa sababu sayansi inasema mengine na dini mbalimbali zinasema mengine.
Kwa msichana Shanti Devi ilikua tofauti kidogo, baada ya kifo chake alizaliwa sehemu nyingine akiwa na kumbukumbu za zamani
Tushuke nayo
Shanti Devi alikuwa msichana mdogo aliyezaliwa Delhi, India mwaka wa 1926. Akiwa na umri wa miaka minne, alianza kudai kwamba alikuwa na kumbukumbu za maisha ya zamani kama mwanamke aitwaye Lugdi Devi, ambaye aliishi katika mji uitwao Muttra (kama maili 90 kutoka Delhi).
Shanti angezungumza na wazazi wake kuhusu maisha yake ya zamani, akieleza mji alioishi, watu aliowajua, na matukio yaliyotokea. Alidai kwamba alikufa wakati wa kujifungua na kwamba jina la mumewe lilikuwa Kedar Nath
Wazazi wa Shanti hapo awali walitupilia mbali madai yake, lakini kadiri alivyokuwa mkubwa, alisisitiza zaidi, na kumbukumbu zake zikawa nyingi zaidi. Mara nyingi alikuwa akichora picha za mji aliokua akiishi zamani na alama zak
ambazo wazazi wake walifanya uchunguzi na kuthibitisha baadaye kuwa sahihi.
Mnamo 1935, Shanti alipokuwa na umri wa miaka tisa, hadithi yake ilivutia fikira za mwalimu wake, ambaye alimwandikia barua profesa wa falsafa katika Chuo Kikuu cha Delhi. Profesa, aitwaye Dk
Ian Stevenson, alikuwa na nia ya kuchunguza madai ya kuzaliwa upya na aliamua kukutana na Shanti.
Walivyokutana, Stevenson alimwomba Shanti kutoa maelezo zaidi kuhusu maisha yake ya zamani. Aliweza kueleza mpangilio wa mji, majina ya mitaa, na maeneo ya majengo mbalimbali.
Pia alimtambua mwanamume anayeitwa Pandit Kanjimal, ambaye alidai kuwa alikuwa mshirika wa biashara wa mumewe.
Stevenson aliamua kuchunguza madai ya Shanti zaidi na akasafiri hadi Muttra ili kuona kama angeweza kuthibitisha kumbukumbu zake.
Aliweza kuipata nyumba aliyokuwa akiishi Lugdi Devi na kugundua kwamba maelezo mengi ambayo Shanti alikuwa ameeleza yalilingana na nyumba hiyo na mazingira yake.
Pia alimpata mwanamume anayeitwa Pandit Kanjimal, ambaye alithibitisha kuwa Lugdi Devi alikuwa mke wa mshirika wake wa kibiashara na alikufa wakati wa kujifungua.
Uchunguzi wa Stevenson ulienea kwenye vichwa vya habari duniani kote, na Shanti akawa maarufu katika jambo kuzaliwa upya. Hadithi yake baadaye iliandikwa katika kitabu kinachoitwa "Kesi Ishirini Zinazopendekeza Kuzaliwa Upya," ambacho Stevenson alichapisha mnamo 1966.
Mbali na Shanti Devi, watu wengine ambao wamewahi kuzaliwa na kuwa na kumbukumbu za kuishi zamani sawa na Shanti Devi ni kama James Leininger, Ryan Hammons pamoja Bridey Murphy
ReincarnationView attachment 2537899
Jina la muvi linaitwaje?Kuhusu mtu anaenda wapi baada ya kifo imebaki kuwa fumbo kwa sababu sayansi inasema mengine na dini mbalimbali zinasema mengine.

Walisharudi, reincarnation ina matabaka yakeIwe ivyo na kumbu kumbu ziludi bhna af sihajabu ADAMU NA EVA tushakutana nao hapa duniani
Walisharudi, reincarnation ina matabaka yake
Jina la muvi linaitwaje?