Ukifa unazaliwa tena

Duh na ungekuwa una kufa unazaliwa mnyama ungeta uwe mnyama gani? 😂
Unanijaribu unatak niseme kuwa nitachagua kuwa papa huko Baharini?

Lion, Tiger, Fisi, Mbwa, Chris nk

Kifup mnyama anayekula nyama ( carnivores)
 
Napenda kula nyama san 🤣 mboga za majani kwani nimekuwa ng'ombe

halafu kuna wanyama kama mbuzi, swala, kondoo nk hawa wanaliwa ujue 😬
Duh kweli wewe mchaga
 
Children who had lived before
Nimesoma sana Habari hizi na zimetokea sehemu nyingi duniani

Kuna mtoto alikuwa miaka 4 aliwakana wazazi wake hapa

Alisema hao sio wazazi wake bali alizaliwa kwenye nyumba iliyopo karibu na bahari na alitaja nyumba mpaka wazazi wake

Na walifuatitia ikawa ni kweli hiyo nyumba ipo na alipofika kuiona tu alifurahi sana
Wenye nyumba (sio wazazi) waliombwa na waandishi na mtoto aliingia mbio bila kukosea akasema chumba Changu hiki hapa na anakimbia kama wewe ukiwa kwenu unavyopajua

Mwingine ni Syria/Israel border huko Golan heights
Alizaliwa mtoto na alipokuwa miaka 3 akasema aliuwawa na hii birthmark ya kichwa ni shoka alilopigwa
Aliwapeleka mpaka kwa aliemuuwa na pia kaburi alilozikwa na wakafukua wakakuta mtu kazikwa na kichwani kapigwa na kitu kizito

Muuwaji wake alipooulizwa alikana mwanzo lakini shoka lilipatikana na akakubali kosa
Locals walisema huyo mtu alipotea 4 years ago

Hivi visa vipo ila nasoma kama hadithi ingawa wengi huwa wanashirikishwa kama professors na doctors na wataalamu kibao
 
Ww una amini nini?
Ni naamini na kwa Mungu waenda kuchomwa. Haiwezekani uishi maisha ya kifedhuli duniani uwe shoga, muuaji, mchawi halafu uishie tu kwenda kuzaliwa tena. Tusiwape moyo washenzi wafikiri ufirauni wao wanaoufanya mwishowe ni kwenda tu kuzaliwa tena nchi nyingine halafu yaishe.
 
Shanti Devi = Shanti Devil AU Shanti Shetani, walitoa "l" kwenye neno Devi ili isijulikane kuwa huyo Binti ni wakala wa shetani katika kuuhadaa ulimwengu juu ya maisha baada ya kifo.
 
Huenda hata wewe mtoa mada ulishawahi kuishi huko New York miaka ya zamani Sana kabla ya kuzaliwa tena huku Tanzania.
 
Ukijua dunian tunaishi kwa probability uwezi kuwaza sana how have sure kuna moto uko
 
Huenda hata wewe mtoa mada ulishawahi kuishi huko New York miaka ya zamani Sana kabla ya kuzaliwa tena huku Tanzania.
Naomba niludishwe huko New york uku bongo mambo magumu sana 😂😂
 
M
Shanti Devi = Shanti Devil AU Shanti Shetani, walitoa l kwenye neno Devi ili isijulikane kuwa huyo Binti ni wakala wa shetani katika kuuhadaa ulimwengu juu ya maisha baada ya kifo.
h ya kweli haya?
 
Mimi nipo njia panda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…