Hata kama wao wasipojua kama umekufa unataka watu waku-miss kwa lipi? kwa mfano mbali ya kupigwa BAN FaizaFoxy watu wanamkumbuka kwa michango yake ya kibishi bishi. Hata tusipojua kama umekufa lakini watu waseme "angekuwepo MANI" hii ishu ingeelewa!!