Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
??
Fanya ulale wewe, upate kuifungua yake baadae.Huyu aliye lala pembeni yangu hapa...
Sitaki mtu aitoe... narudia tena SITAKI SITAKI SITAKI.. wachukue urithi mwingine simu yangu waiache au kama vipi waiflash kwanza kila kitu kifutike ndio waichukue
Marehemu ana haki ya privacy... kwenye simu kuna mambo kibao ambayo watu wengi hawajui kama niko hivyoHaahaaa kuna nini humo mkuu,
Hiyo tu?Wengine tuna mambo yetu ya pornhub kwenye simu tumeyaficha,
Malaika anaekuja kufungasha nilivyo bakiza dunia
Speaking of game za kwenye simu yaani huwa nashindana na watu online very addictive najikuta napanda level hadi naambiwa first to reach this level halafu napumua naangalia wengine nilipowaacha, napotea kama wiki kisha nikirudi nimepitwa napambana tena hadi nafika level ya juu...Kwanini waitoe? Yaani atakae jifanya anapekenyua simu yangu nitamrudia kama ghost nitamuwinda maisha yake yote.
Kuna magemu mengi sana nimeishia level za juu sitaki mtu ayaendeleze kisha aniaribie..