kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 7,723
- 14,388
aina ya simu nokia asha 311 msaada unahitajika
file not supported maana yake hakuna software ya kuweza kulifungua hilo file ulilo-download kwenye simu yako.
mara ya mwisho uli-download kitu gani ukapata ujumbe huo?
rasimu yetu mkuu
Rasimu bilashaka ipo kwenye mfumo wa PDF, je simu yako inaouwezo wa kusoma PDF files? Kama ni ndiyo basi tafuta PDF reader kama adobe reader au foxit reader kwa ajili ya simu yako. Kama PDF haipo supported kwenye simu yako bado unaweza ku-convert hiyo kwenda word au format nyingine yeyote inayokubalika kwenye simu yako