Ukichukua fedha benki sasa ni roho mkononi

Ukichukua fedha benki sasa ni roho mkononi

...thx "Fautin" Noted!

Tanzanians need to abandon the
culture and practice of paying and
demanding cash payments. We need
to use and accept payments through
bank cards such as Tembo issued by
CRDB. All wholesale and retail shops,
hotels etc should have facilities for
credit and debit cards. Already our
neighbour countries such as South
Africa and Botswana bank cards are
widely used in bars, hotels, petrol
stations, bottle stores, buses,
airlines, factories and supermarkets -
in all businesses and transactions in
rural and urban areas.
 
...thx "Fautin" Noted!

Tanzanians need to abandon the
culture and practice of paying and
demanding cash payments. We need
to use and accept payments through
bank cards such as Tembo issued by
CRDB. All wholesale and retail shops,
hotels etc should have facilities for
credit and debit cards. Already our
neighbour countries such as South
Africa and Botswana bank cards are
widely used in bars, hotels, petrol
stations, bottle stores, buses,
airlines, factories and supermarkets -
in all businesses and transactions in
rural and urban areas.

Hii ndo suluhu pekee iliyobaki.
 
wabongo wengi siku hizi hatuna long term planning za maisha utakayoishi. ndio maana vijana wakiajiriwa tuu wanaanza kutafuta namna ya kuiba. watu wa benki ndio hao, wakiona mkinga kaingia benki na kubeba m200 akafunge mzigo wanaita watu wao wampore. ukikutana na trafic kijana utatamani umtemee mate usoni. analazimisha umpe rushwa ni balaa. ndivyo hivyo na office zingine. Mafanikio ya kuwa na nyumba za kifahari, magari nk ya haraka haraka ndio yanafanya watu tuwe wauwaji, wezi nk.
Aaafu baada ya hapo unaenda kutoa ushuhuda kanisani ‘Mungu kanipatia gari.'

kuna dhambi tunazozifanya hata shetani anazikataa.

mkuu..hapo umenena aisee..
 
.. Zanzibar Spices aise kweli tanzania walikamata ma boom mengi tuliskia kg 300 mara kg 200 mara kg 100 na zaidi lakini hatujawahi skiaaa wala kuona wakichoma madawa hayo inaaana bado yanawekwa kwa ajili ya ushahidi yaani kidhibiti lakini ukweli ni madawa hayo hayo yanarudi mitaani wanauziwa tena ma don wanaendelea na kazi.

.
 
Last edited by a moderator:
Lazima watu wa benki wanahusika wezi hawawezi ota kuwa kila atokae benki amechukua pesa
Hivi unafikiri wafanyakazi wa benki ndio pekee wanahusika? Hufikirii hata huko anakotoka ndio kuna uwezekano mkubwa wa mtu kutoa mchongo hasa kama pesa zinaenda ofisi fulani kwa malipo yanayofahamika? Na je kwa wafanyabiashara unadhani wafanyakazi wao huwa hawajui kama jamaa anaenda benki kuchukua au kupeleka mzigo? Au hata madereva wao? Think again
 
Bubu Msemaovyo , mwananchi wamemodifai habari yako na kuichapisha gazetini mwao, nenda kawadai chako! warumi na wewe ulishapewa chako na globopblishaz kwa kuiga ile habari yako?!!!
 
BUBU msema ovyo , mwananchi wamemodifai habari yako na kuichapisha gazetini mwao, ndaa kawadai chako! warumi na wewe ulishapewa chako na globopblishaz kwa kuiga ile habari yako?!!!
Wanilipe wapi ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
.. Zanzibar Spices aise kweli tanzania walikamata ma boom mengi tuliskia kg 300 mara kg 200 mara kg 100 na zaidi lakini hatujawahi skiaaa wala kuona wakichoma madawa hayo inaaana bado yanawekwa kwa ajili ya ushahidi yaani kidhibiti lakini ukweli ni madawa hayo hayo yanarudi mitaani wanauziwa tena ma don wanaendelea na kazi.

.
Mrangi hapa ndio inashangaza sana,kuna madawa yameweka tangu miaka ya tisini watu wakitafuta ushahidi.
Wao utasikia wanasema eti wanawafuatilia wahusika,maana hii ndio kauli mbiu yetu.
We mfano mmoja wa kitoto ni yale madawa yaliyokamtwa kwenye Container Zanzibar,unajiulize hivi ni kweli huko yalikotoka hayakufanyiwa Scanning?na je kwanini wahusika wa meli walibeba bila ukaguzi.Hii ilikuwa issue ya kuboost tu,
Yanatoka huku yanapelekwa pale.
Tanzania ndio miongoni mwa nchi bora zaidi Duniani kwa kukamata madawa ya kulevya na wahusika kutokukatwa.
Hivi nani amabe hajui muuza unga,yaani kila mmber humu wa Jf akiulizwa swali hili atasema namjua.Sasa je iweje polis wasiwajue.
Mie nilitoa mfano mdogo sana wa hizi dili,mfano mdogo tu kuna matukio ya ujambazo yanatokea sehem,polisi wanafanya msako,wakimkuta mtu hata na kisu wanamchukua na kusema ni miongoni mwa wahusika.Sasa Je mfano huo si wa ufanye kwa mateja?Kwanza kwa baadhi ya nchi suala la kuwa Teja tu ni Jinai.We nenda China halafu umkute teja kama wa huku kwetu kama utampata,yaani anajificha kupita maelezo,maana akikamatwa tu anacheze machine za umeme za mateso hadi autaje mnyororo mzima wa wauza unga,la sivyo kula sindano ya sumu.
Lakini huku kwetu mateja hadi pale karibu na ikulu wapi,tunashindwaje kuwatumia ili wautaje mnyororo mzima.Tena wala hawato hitaji pesa nyingi kama kawaida ya teja.Tamtaja wa pili yake,na wapili atamtaja wa tatu hadi boss kubwa anafikiwa kw amitego ya dili la biashara.
Mie huwa nikiona kiongozi anasema hii vita ni ngum huwa simuelewi kabisaa,yaani hakuna vita nyepesi kama hii.
Mbona Machangudoa tulienda kuwamata bila kuwa na ushahidi,maana ili kujua kama anajiuza nilazim umkute na mwanaume wakifanya kitendo,ila pale walikuwa wanawazoa tu,mbona mateja wamejaa mitaani.
 
Dili la Ujambazi wa kukwapua pesa una njia nyingi
a)Mchongo wa baadhi ya wafanyakazi wa Bank wasio waaminifu
b)Mchongo wa wafanyakazi ndani ya ofisi ya muhusika
b)Mchongo ndani ya familia kwa kupanga dili
c)Watu binafsi wasio wema wenye kujua tabia yako na taratibu zako za kusafirisha pesa.

Sasa sidhani kama ni sawa kutupia lawama upande mmoja,maana mie nikivuta hisia wale wachina walivyokuwa Dar wanaibiwa kijinga vile sipati picha,tena mchana kweupee,sasa hii ni issue ya watu wa ndani ya ofisi yao,lakini nikijiuliza upande wa pili,wachina kwenye suala la pesa ni wasiri sana,hapa ndio natia shaka upande wa Staffs wa Bank.
 
Back
Top Bottom