Ukibebwa jishikie

Utakuwa unamsema Mr Daud Bashite, maana kwa sasa ndiyo habari ya mujini.
 
hahahaahaha, na kajishika kweli, ila wazungu bwana! sisi huku upareni ukibeba hivyo si jamii itakushangaa na kukuona umepagwa!! I wish nipate uraia huko kwa Trampoooo
 
hahahaahaha, na kajishika kweli, ila wazungu bwana! sisi huku upareni ukibeba hivyo si jamii itakushangaa na kukuona umepagwa!! I wish nipate uraia huko kwa Trampoooo
Umenichekesha sana eti huku upareni duuuuuh. Ila ndio hivyo huko mnyama ni rafiki wa binadamu
 
Umenichekesha sana eti huku upareni duuuuuh. Ila ndio hivyo huko mnyama ni rafiki wa binadamu
sisi huku Mbwa anatumika labda kuwinda na kufukuza wanyama wanaoharibu mazao mashambani kama tumbili na nyani na ulinzi wa usiku lakini sijawahi kuona amebebwa hivyo hahahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…