Mdogo wangu ameandikiwa multiple selection kwenye profile yake na kwny majina ya waliochaguliwa jina lake halipo. wala hakuna sehemu iliyoandikwa confirm.nifanyaje hpo naomba ushahuri
Mdogo wangu ameandikiwa multiple selection kwenye profile yake na kwny majina ya waliochaguliwa jina lake halipo. wala hakuna sehemu iliyoandikwa confirm.nifanyaje hpo naomba ushahuri
Kwanza ajue ni vyuo gani amechaguliwa halafu ni course zipi? Baada ya hapo achague anataka kwenda wapi na awaandikie e_mail kama chuo kile akitakacho kilivyo elekeza mwisho 10.10.2017
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.