Ukiamua unaweza..!

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Habari zenu!
Kwa mara ya pili nimefanikiwa kutembea kutokea Mbagala mwisho hadi Mbweni ( masite ). msizoe sana kutumia magari, mkumbuke kutembea napo ni mazoezi.

'Ubarikiwe na siku yako iwe njema kwa mapenzi Mungu'
 
Mara ya pili tu..?? mie mbona ndo kawaida yangu kila siku kutembea kutoka Lumo hadi kibaruani Tegeta kibaoni..., ingawa mie sio kwa ajili ya mazoezi bali ukosefu wa nauli
 
ah ah! Baba V kesho unisubili hapo tegeta kibaoni nikusindikize huko Lumo
Mara ya pili tu..?? mie mbona ndo kawaida yangu kila siku kutembea kutoka Lumo hadi kibaruani Tegeta kibaoni..., ingawa mie sio kwa ajili ya mazoezi bali ukosefu wa nauli
 
Last edited by a moderator:
Mzima wewe ndugu?
Uje ujaribu bana, ila hata mie siku ya kwanza niliona kama haiwezekani, ila nilipata na homa kwa jinsi nilivyo chokaga.

Ha ha ha!!
Mimi nimewahi kutembea umbali wa Km 20 kwa masaa 3,nilichokaje!!!
Hata sitamani kurudia!
 
Mnanikumbusha wakati niko JWTZ unatembea na kukimbia mchakamchaka na kupiga kwata kwa jumla ya 9 hours ukijumlisha ni karibia umbali wa DAR mpaka MORO.
 
ah ah..! Kama ulikua unashinda maabara, density ya hydrone ni ngapi? Na je density ya Hydrogen2 + Oxygen ni ngapi vile.. mh! Je, mlijifunza Content of distribution network kwenye topic ya wave na practical? Nakumbuka zamani elimu ilikua bora sana duh!
Hahahah...mimi nilikuwa nashinda laboratory na library tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…