Ukiambiwa hivi utaanzaje?

Ningeinuka nikafunga mlango na funguo kisha ningevua shati naegemea kwenye kochi nafungua mkanda na zip alafu namwangalia usoni
 
mhh yawezekana siku hiyo ana hela sasa anataka kukutoa out.kwani kutongoza inamaanisha ni kuomba sex pekee??????? yawezekana pia kakuona uko kimya kaamua kuvunja ukimya wako au pia ni mtani sana kwako.lazima upime na kama ni rafikio wa siku nyingi hadi mmekaa sehemu wawili basi utakuwa unamwelewa au kakuona ww hujui kuimba nyimbo za mapenzi kaamua kukutoa ushamba.
 
ni lzm huyo alikuwa ananimind long na atakuwa anataka mchezo, kama namfeel na mie nafanya kweli
 
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?

Mkuu,

Mimi ningemuomba msaada huyo mate wangu anisaidie, anifundishe jinsi ya kutongoza halafu baada ya mafunzo ndiyo ningeamua lile ninaloliona sahihi kwangu.

au ningenyanyuka na kumwambia anisubiri pale pale, nikirudi ndio nitamtongoza. Ningeondoka eneo hilo na kwa siku hiyo nisingerudi tena, pengine angetokea mwengine wa "kumtongoza".

Biashara za mzunguko, kuzungushana, madoido mimi sizipendi..mtu awe straight forward aniambie tu bila ya maneno ya kupindisha pindisha lile alitakalo..nikiafiki ninatafanya, kama siwezi nitasema siwezi...mambo ya vitendawili ni ya shule za msingi!
 
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?

Hii sijapata kuisikia maishani mwangu la hasha!

Picha ninayoiona hapa huyu km ni demu basi ni wale "WENYE GUNDU"

Kwa wale wasiojua Gundu ni mdudu mmoja ananuka kishenzi yaani hata akifa nzi hawezi kumsogelea na ni msemo unaotumika kwa mtu asiye na bahati.

Picha nyingine ninayoipata hapa HAKA NI KADEMU KASIKO NA MVUTO KABISAAA yaani vile videmu KINYAA.

Halafu sasa inaonekana KANAWASHWA KISHENZI katika mashine yake na kanataka KUKUNWA kinoma.

Kwa mtizamo wa haraka haraka ni vile videmu dizaidi ukikaa nako tu kanakushikisha sehemu zake ukakune, kisha kanaenda kupaka kwa wenzake kuwa jamaa kani piga bao.

anyway kana sifa nyingi siwezi kuzimaliza, ngoja niishie hapa.

Mie ningekapima oil kwanza kwa finger halafu nika kashit!
 
Tuache kuzungukazunguka. Kutongoza ni kushawishi mtu akubaliane na wewe kuhusu jambo fulani. Katika mazingira hayo, kama anyeomba kutongozwa ni mwanamke manake anataka kushawishiwa kufanya mapenzi. Na uzuri ni kwamba hataki uzunguke sana. Just sema maneno machache ambayo yatamwingia then akubali au akatae. Na kwa vile hukujiandaa kwa hilo. Ningekuwa mimi ningemwuliza "Nikitaka uwe demu wangu unaitaji nikuambie/nikufanyie nini?" Hilo jibu lake ndio anachotaka afanyiwe/asikie kwa wakati huo. Basiiiiiiiiii!!!!!!!! Kumrukia au kutokumrukia hiyo ni sehemu ya pili ( na ambayo haijaulizwa cha kufanya)
 
ningemtongoza kwa kumwambia"unajua yale magari yooote yanayoanza na SU/DFP ni yangu!na yale magorofa yooooote yanayojengwa yamezungushia kama pazia ya blue ni yetu!wanawake wooote wanaovaa khanga dada zangu!wote wavaao jinsi/pedo walinikataa sasa sijui ww ulieva sketi unasemaje?

Hahaaaaaa, Pearl leo umenipa burudani nimecheka kama mwehu maana nyumbani naishi pekeyangu
 
wote mmekosa. . . . .

kama muda ananiambia 'nitongoze' ningekuwa namwangalia machoni, ningebaki namwangalia tuuu mpaka atongozeke, kifupi ni vigumu sana jinsia ya kike kutamka, na mpaka mmekuwa wenyewe faragha itakuwa mmekwisha tamaniana lkn mwashindwa elezana. ile kutamka NITONGOZE tayari jinsia ya kiume imeonekana kuzubaa. hayo ni vile naona na inaweza kuwa kinyume.
 
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?
unampa verse kali kali... hadi kicheko kimtoke:tongue:
 
ningemtongoza kwa kumwambia"unajua yale magari yooote yanayoanza na SU/DFP ni yangu!na yale magorofa yooooote yanayojengwa yamezungushia kama pazia ya blue ni yetu!wanawake wooote wanaovaa khanga dada zangu!wote wavaao jinsi/pedo walinikataa sasa sijui ww ulieva sketi unasemaje?

mbona ukuniambia hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom