Wee mimi hata sivunji. Kama nilinyunua mimi nabeba naenda navyoHuu ni ungese aiseeeh, ukisikia ukichaa ndo huu. Ila kwa upande mwingine kama mtu anaona nimemkosea sana na anataka kunikera, bora avunje hivyo ila aniachie mwili wangu, maana ntapambana nipate pesa nyingine na niendelee mbele bila yeye.
Poleni wahanga wa hilo tukio, ukute bidada alikuwa anajinunulisha vyombo na kupendezesha geto la mwanaume halafu anasikia anaolewa mwingine. Ila hata kama anaolewa mwingine ukifanya hivo ndo unazidi kujiharibia.
Acha niendelee na Mahaba yangu Mia Mia na Dadii aka Nonsense.
Wee mimi hata sivunji. Kama nilinyunua mimi nabeba naenda navyo
Hiyo ni busara na kupevuka akili, kama bvitu ulighara mia unavibeba tuu. Ila kama ulimpa zawadi ni hiari kuvichukua au kumuachia.
Umenikumbusha case moja binti wakati anaolewa kafanyiwa house party maana ile haikuwa kichen party. Alipewa zawadi na familia yake vitu vya kuanzia maisha vya kujaza nyumba nzima, kitanda godoro vyombo friji makochi dining table washing machine jiko la mkaa na umeme deep frizer makabati ya nguo makapeti picha za ukutani hadi nguo za kuvaa mumewe pia liletewa kama zawadi.
Baada ya harusi binti kaleta fuso kwa mumewe na mizawadi aliyopewa kwenye house party (kitchen party) akamshawishi mumewe vile vitu vyake (alivyomkuta navyo mwanaume) avipeleke kijijini kwao au avigawe au aviuze ili nyumba ijazwe na zawadi alizopewa binti.
Mume bila kuwaza mara mbili kasema sawa fuso likashusha mzigo utasema Orca Deco imehamia nyumbani kwao. Baada ya miaka 2 ya ndoa binti akaanza kuona kekundu kekundu kila akiongea na mwezie anajibiwa nyodoo..... akasema huyu hanijui, siku ya siku kachukua kichanga chake kakipeleka kwao (kwa wazazi wa binti), alishatafuta nyumba ya kupanga wilaya nyingine na waliyokuwa wakiishi na mumewe, akaita fuso akasafisha nyumba nzima akaacha funguo kwa majirani.
Mwanaume kurudi usiku wa manane yuko tips, piga honi piga na wewe, piga simu ya mkewe piga an wewe ikabidi alale kwenye gari nje ya nyumba yao. Asubuhi majirani wanamgongea kwenye gari wakampa funguo za nyumba yake. Kuingia ndani anakutana na mwangi hakuna hata nguo zake za ndani maana alinunuliwa hadi boksa hadi soksi. Zile za kwake za zamani zote aliziondoa kwa kuzitupa na vitu vingine aligawa......
Jamaa kupiga mahesabu ya haraka haraka hadi aje ajipange kukaa sawa akaenda kuomba msamaha mjkewe arudi akajishusha kama mtumwa, mke alirudi ila alinyanyasika hadi ukawa unaona huzuni.
Moral of the story; kwenye mahusiano chochote chaweza kutokea, kila mmoja asiishi maisha ya kumtegemea mwnzake saanaa kiasi cha kunyanyasika. Mnaishi kwa kusaidiana ila kila mmoja aishi au awe kwenye nafasi ya iwapo mmoja wapo hatokuwepo tena kwenye maisha yake haitakuwa mwisho wa maisha ya huyo aliyebaki maana maisha yanatakiwa kuendelea kama kawaida.
Kasie Matata.
Akisema naomba funguo nikachukue vitu vyangu utamnyima!?Na yeye anajua hana ticket ya kurudi. Mtu hawezi kufanya mambo ya kizwazwa namna hiyo alafu awe na wazo la kurudi humo ndani. Halafu wakati anafanya hayo yote mwenye nyumba alikuwa wapi? Huyo mwanaume atakuwa kaka yetu hapa Dar
Hivi hii jeuri miaka hii inatokea wapi mbona kipindi hicho mama zetu hawakuwa nayo !?!Hiyo ni busara na kupevuka akili, kama bvitu ulighara mia unavibeba tuu. Ila kama ulimpa zawadi ni hiari kuvichukua au kumuachia.
Umenikumbusha case moja binti wakati anaolewa kafanyiwa house party maana ile haikuwa kichen party. Alipewa zawadi na familia yake vitu vya kuanzia maisha vya kujaza nyumba nzima, kitanda godoro vyombo friji makochi dining table washing machine jiko la mkaa na umeme deep frizer makabati ya nguo makapeti picha za ukutani hadi nguo za kuvaa mumewe pia liletewa kama zawadi.
Baada ya harusi binti kaleta fuso kwa mumewe na mizawadi aliyopewa kwenye house party (kitchen party) akamshawishi mumewe vile vitu vyake (alivyomkuta navyo mwanaume) avipeleke kijijini kwao au avigawe au aviuze ili nyumba ijazwe na zawadi alizopewa binti.
Mume bila kuwaza mara mbili kasema sawa fuso likashusha mzigo utasema Orca Deco imehamia nyumbani kwao. Baada ya miaka 2 ya ndoa binti akaanza kuona kekundu kekundu kila akiongea na mwezie anajibiwa nyodoo..... akasema huyu hanijui, siku ya siku kachukua kichanga chake kakipeleka kwao (kwa wazazi wa binti), alishatafuta nyumba ya kupanga wilaya nyingine na waliyokuwa wakiishi na mumewe, akaita fuso akasafisha nyumba nzima akaacha funguo kwa majirani.
Mwanaume kurudi usiku wa manane yuko tips, piga honi piga na wewe, piga simu ya mkewe piga an wewe ikabidi alale kwenye gari nje ya nyumba yao. Asubuhi majirani wanamgongea kwenye gari wakampa funguo za nyumba yake. Kuingia ndani anakutana na mwangi hakuna hata nguo zake za ndani maana alinunuliwa hadi boksa hadi soksi. Zile za kwake za zamani zote aliziondoa kwa kuzitupa na vitu vingine aligawa......
Jamaa kupiga mahesabu ya haraka haraka hadi aje ajipange kukaa sawa akaenda kuomba msamaha mjkewe arudi akajishusha kama mtumwa, mke alirudi ila alinyanyasika hadi ukawa unaona huzuni.
Moral of the story; kwenye mahusiano chochote chaweza kutokea, kila mmoja asiishi maisha ya kumtegemea mwnzake saanaa kiasi cha kunyanyasika. Mnaishi kwa kusaidiana ila kila mmoja aishi au awe kwenye nafasi ya iwapo mmoja wapo hatokuwepo tena kwenye maisha yake haitakuwa mwisho wa maisha ya huyo aliyebaki maana maisha yanatakiwa kuendelea kama kawaida.
Kasie Matata.
Hivi hii jeuri miaka hii inatokea wapi mbona kipindi hicho mama zetu hawakuwa nayo !?!
Kwenye pitapita zangu huko mtandaoni nikakuta na hii aisee mm ningemng'ata mtu! View attachment 946090View attachment 946091View attachment 946092View attachment 946093