Ahahahahahahaa oohoooo ukisikia Matata ya Kasie ndo hayooo.
Ila ukiambiwa uchague unaelekea upande upi, kosovo au sadolini hehehehehhee na ukiacha kote utakokimbilia ujue unaenda kulishwa kinyama hehehehehehee. Nakutania mwaya weeeh usijesema huyu bibi viipiii.
Karibia mwaya sijanyanyuka hata.