Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 670
- 745
Aisee ningempritisha mtu meno kila mahali!!Sawa kitu cha 4k kimenusulika
Inusurike vipi wakati ipo chini mzee baba ndio dada zetu hao na mapenzi ya kuigiza !!Aisee hiyo LG flat screen imenusurika kweli "... duhh hao mademu zenu wengine huwa ni majini au " !!? Maana sio kwa kuingiziana hasara hivyo
Hivi viumbe bhana!!Anagomea kuachwa wakati alipokuwa ndoani alikuwa na kiburi hadi mumewe anatamani hiyo ndoa ndio iwe hicho kikombe maana ingeweza kuvunjika kirahisi!
Ni mtu kafanya hivi?au tetemeko! Mweeh
Miss uAisee hiyo LG flat screen imenusurika kweli "... duhh hao mademu zenu wengine huwa ni majini au " !!? Maana sio kwa kuingiziana hasara hivyo
Hahahaha mm tv na remote yake hivyo vingine havina umuhimu saana!!Mm hayo yote sio makosa kwangu?? ila kosa ni kukuta kaondoka na charger yang
Na kumchona kama ndafu !!Hapo naweza ua malayaa wa mtu...! aisee balaa sanaa
Kunywa chochote unachotaka mama nakuja !!Huu ni ungese aiseeeh, ukisikia ukichaa ndo huu. Ila kwa upande mwingine kama mtu anaona nimemkosea sana na anataka kunikera, bora avunje hivyo ila aniachie mwili wangu, maana ntapambana nipate pesa nyingine na niendelee mbele bila yeye.
Poleni wahanga wa hilo tukio, ukute bidada alikuwa anajinunulisha vyombo na kupendezesha geto la mwanaume halafu anasikia anaolewa mwingine. Ila hata kama anaolewa mwingine ukifanya hivo ndo unazidi kujiharibia.
Acha niendelee na Mahaba yangu Mia Mia na Dadii aka Nonsense.