Ya mbaazi wayajua weye?Ameyafanya mengi yenye mafanikio unayazungumzia hayo?
Hatma ya kivuko chakavu MV Dar es SalaamBila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.
Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.
Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
Yote yanayofanywa na Sizonje ni ajenda tosha
Naomba mtupe kesho dakika kumi tubusti mkutano wa Siasa muone jinsi gani tulivyokosa agendaBila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.
Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.
Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
Serikali isiyo sikivu, inapenda kick, imeongeza mhimili mwingine unaoitwa "amri kutoka juu" , pia serikali hii imezaa watu wasiojulika wanatembelea nissan
Dah! Hivi tunaongelea nn vile
Me napita tu wadau, sorry
Naona jamaa ameshasema poo. Kila akifanyacho jamaa ni agenda kwa upinzani.Naomba mtupe kesho dakika kumi tubusti mkutano wa Siasa muone jinsi gani tulivyokosa agenda
1.Mishahara minono kwa watumishiBila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.
Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.
Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
Jamaa Punyeye Mutu anakula mbaazi?Ya mbaazi wayajua weye?
Mnyeti wamjua?
Vyuma vimekaza!
Mtajibebba