Ukiachana na yaliyomkuta Lissu; ni agenda ipi itaibeba Upinzani Katika Chaguzi zijazo??

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,631
40,789
Bila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.

Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.

Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
 
Hatma ya kivuko chakavu MV Dar es Salaam
Hatma ya nyumba za serikali
Hatma ya Katiba kusiginwa
Hatma ya bombadier zetu
Hatma za milioni 50 kila kijiji
Hatma ya mikopo kwa wanafunzi
Hatma ya rushwa ma DC na ma RC
Hatma ya kuwaajiri watoto wa vigogo
Hatma ya takwimu za kupikwa
Hatma ya kuteka, kutesa na kuwaua wakosoaji
Hatma ya Bunge kuwa gizani
Hatma ya barabara kukosa viwango
Hatma ya makinikia
Hatma ya uchumi kushuka
Hatma ya viwanda
Hatma ya kauli za uongo
...

Nikitaja yote hii kurasa haitatosha...
 
Kiharusi mbona mnajihangaisha sana na watu waliokosa hoja? Kama hawana hoja si ndiyo fursa ya nyie kushinda kirahisi? Hivi unataka wapinzani wawe na hoja ili CCM ishindwe?

CCM Kushindwa ndiyo lengo lako KWELI?
 
Uongo kila kukicha, bomoa bomoa isiyojali Watanzania, chuki za kutisha, kuangusha uchumi, nyongeza ya mishahara, viwanda fake 3,306, kukumbatia rushwa Bungeni, wilayani na mikoani, bajeti hewa, kupungua kwa mikopo ya elimu ya juu toka bilioni 459 2015/2016 mpaka kufikia bilioni 147 2017/2018 ukosefu wa ajira etc.

Yote yanayofanywa na Sizonje ni ajenda tosha
 
Bila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.

Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.

Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
Naomba mtupe kesho dakika kumi tubusti mkutano wa Siasa muone jinsi gani tulivyokosa agenda
 
Bila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.

Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.

Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
1.Mishahara minono kwa watumishi
2.Mikopo kwa wanafunzi wote wwnaopata nafasi vyuo vikuu
3.Ajira
4.Maisha Bora kwa kila mtanzania
5.Haki sawa kwa wote.
Nk ongezea Na nyingine
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom