Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Hakwenda Ikulu kula raha kama wanavyotegemea wachungaji na viongozi wa chadema. JK yuko ikulu kupambana na hali ngumu ya nchi na maisha ya watanzania.
Atleast mpaka sasa kuna saccos na mikopo mingi nchini kuliko miaka yote ya uhuru, ukishindwa kujiendeleza jilaumu mwenyewe, usitegemee JK atakujaza mapesa mifukoni
JK yuko ikulu kikazi sio kula raha, excuse me!!!!

bila shaka utakua ni hose boy wa ikulu............................Hakwenda Ikulu kula raha kama wanavyotegemea wachungaji na viongozi wa chadema. JK yuko ikulu kupambana na hali ngumu ya nchi na maisha ya watanzania.
Atleast mpaka sasa kuna saccos na mikopo mingi nchini kuliko miaka yote ya uhuru, ukishindwa kujiendeleza jilaumu mwenyewe, usitegemee JK atakujaza mapesa mifukoni
JK yuko ikulu kikazi sio kula raha, excuse me!!!!
hunajipya napia wewe uwezi kusoma alama zanyakati..
Unafikiri kama JK, unatanguliza mkokoteni kabla ya punda. Huwezi kuwaondolea watu umaskini kwa kuwapa pesa hata siku moja! Nipe success story ya mamilioni yaliyogawiwa.
"JK yupo ikulu kikazi" Kazi ipi, sioni anachofanya, kama hajui kwa nini TANZANIA ni maskini anawezaje kupambana na hali ngumu ya maisha ya WATANZANIA?
Wajameni tuwe wakweli,
Hivi kuna rais gani wa Afrika ukiondoa wale wa kiaarabu ambaye hana raha na kiti chake kama kikwete?? Mimi nahisi kama hana raha manake duu alivyopauka usoni, inatia hata huruma!