Ukiacha waarabu, kuna nchi ya kiafrika ambayo rais wake hana raha kama kikwete??

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
401
Wajameni tuwe wakweli,
Hivi kuna rais gani wa Afrika ukiondoa wale wa kiaarabu ambaye hana raha na kiti chake kama kikwete?? Mimi nahisi kama hana raha manake duu alivyopauka usoni, inatia hata huruma!
 
Kama yupo atakuwa taabani kwani jk sasa hivi ni chokambaya kwelikweli. Anachofanya sasa ni bora liende miaka mitano itimie aondoke zake.
 
Kumbe na wewe umegundua hilo gudluck.mie niligundua hilo toka siku ilee ambapo tume ya uchaguzi ya jk ilipomtangaza kuwa mshindi..hakuwa na furaha hata kidogo..wizi alioufanya unamsuta..namhurumia rais wa usalama wa taifa..tumuombee jamani!
 
Wengine ni Laurent Gbagbo, Mugabe pamoja na hawa majirani zetu halisi wa EAC.
Al bashir amesoma alama za nyakati...huyu mjanja.
 
Guys si kweli! what makes JK kukosa raha? jeshi, polisi, wanahabari n.k wako upande wake. Rais kukosa raha ni pamoja na misikosuko ya kutaka kupinduliwa, migomo na maandamano ambayo ni severe!

Lingine kukosa raha kwa mtu ni kama ana akili timamu na dhamira ya kumsuta, JK hana sifa hizo! ni kama akili yake imetiwa ganzi! RAHA ANAYO mwe!
 
Hakwenda Ikulu kula raha kama wanavyotegemea wachungaji na viongozi wa chadema. JK yuko ikulu kupambana na hali ngumu ya nchi na maisha ya watanzania.

Atleast mpaka sasa kuna saccos na mikopo mingi nchini kuliko miaka yote ya uhuru, ukishindwa kujiendeleza jilaumu mwenyewe, usitegemee JK atakujaza mapesa mifukoni

JK yuko ikulu kikazi sio kula raha, excuse me!!!!
 
Rais ambaye yupo ikulu kikazi anaonekana waziwazi. jk hana mwonekano huo. kama amekutuma mwambie hola!
 
Hakwenda Ikulu kula raha kama wanavyotegemea wachungaji na viongozi wa chadema. JK yuko ikulu kupambana na hali ngumu ya nchi na maisha ya watanzania.

Atleast mpaka sasa kuna saccos na mikopo mingi nchini kuliko miaka yote ya uhuru, ukishindwa kujiendeleza jilaumu mwenyewe, usitegemee JK atakujaza mapesa mifukoni

JK yuko ikulu kikazi sio kula raha, excuse me!!!!

hunajipya napia wewe uwezi kusoma alama zanyakati..
 
A BULL WITH MONGOLISM. Si bure hiyo akili yako au shule ya kata?
 
Hakwenda Ikulu kula raha kama wanavyotegemea wachungaji na viongozi wa chadema. JK yuko ikulu kupambana na hali ngumu ya nchi na maisha ya watanzania.

Atleast mpaka sasa kuna saccos na mikopo mingi nchini kuliko miaka yote ya uhuru, ukishindwa kujiendeleza jilaumu mwenyewe, usitegemee JK atakujaza mapesa mifukoni

JK yuko ikulu kikazi sio kula raha, excuse me!!!!
bila shaka utakua ni hose boy wa ikulu............................
 
teh! teh! Hii habari siyo ya ki'great thinker, kwa kuwa niyakulalia nami nasema. Mkwere kachoka, realy hana raha, hawez mapambano na ikulu haikaliki, mbaya zaid safari zake kwishnei, teh! Chek wanaume CDM WANACHANJA MBUGA KUMSHITAKI KWA WANANCHI teh!
 
hunajipya napia wewe uwezi kusoma alama zanyakati..

Hapa ambaye hana jipya nadhani ni wewe mkuu. Kuna jipya gani kwenu, kila wakati JK hivi JK vile, nothing new! Mara kapauka mara kachoka, mara kazeeka, sasa mkuu si ufungue saloon basi umfanyie facial scrub kama vipi mtu wangu? Maana kupauka kwake kunaonekana kumewatia huruma sana enyi viumbe msio na soni nyusoni mwenu. Excese me, give the guy a chance awatumikie watanzania ebo!
 
Unafikiri kama JK, unatanguliza mkokoteni kabla ya punda. Huwezi kuwaondolea watu umaskini kwa kuwapa pesa hata siku moja! Nipe success story ya mamilioni yaliyogawiwa.

"JK yupo ikulu kikazi" Kazi ipi, sioni anachofanya, kama hajui kwa nini TANZANIA ni maskini anawezaje kupambana na hali ngumu ya maisha ya WATANZANIA?
 
Nami nashangaa sana. Kiongozi asiyejua kwa nini wananchi wake maskini tunawezaje kuamini kuwa anafanya kazi ikulu. Hayo ni mawazo ya watu wanaokula makombo chini ya meza yake. Tuwaonee huruma wanafikiri kwa kutumia matumbo yaliyojaa makombo.
 
Wajameni tuwe wakweli,
Hivi kuna rais gani wa Afrika ukiondoa wale wa kiaarabu ambaye hana raha na kiti chake kama kikwete?? Mimi nahisi kama hana raha manake duu alivyopauka usoni, inatia hata huruma!

Hivi una maana gani unapoongelea raha mimi naona jamaa yupo safi tu. .Ushahidi mkubwa ni tabasamu lake lisiloisha usoni. Mwanadamu wa kawaida hawezi kutabasamu kama ana shida.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom