PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
watu wote wabaya wamejificha kwenye kivuli kiitwacho "SIASA"
Makonda
Hata yeye hizo ndinga zake kali kahongwa hana uwezo wa kununua hizi asitufanye sisi hamnazo.Wanajisikiaje wanaomiliki IST now
Maana kauli tata doh """ eti kuhongwa inamansga tulio nazo tumehongwa
Skuelewa naomba ufafanuzi tafadhali
Haswa wale wenye misambwanda mikuuuubwa na mahipsi.mwanamke anahongwa, hata wanaume wa dar pia wanahongwa
Sasa kama mnajua Hilo mnaumia nini sasaHata yeye hizo ndinga zake kali kahongwa hana uwezo wa kununua hizi asitufanye sisi hamnazo.