Ukiacha kuogopa watu utakuwa ni Unstoppable

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
Happy thursday

Leo nimekuletea hii story ambayo kwa asilimia kubwa itawahusu watu wanaojivuta au kuogopa kufanya kitu kwa sababu mbali mbali kama vile kuogopa maneno ya watu n.k

Sasa tuanze, hebu fikiria kampuni ya Coca-Cola ambayo ni moja ya brand kubwa zaidi duniani. Inajulikanakila kona ya dunia, lakini bado inatumia mabilioni ya pesa kwenye kufanya matangazo kila mwaka! Unajua kwa nini? Kwa sababu kujulikana si jambo labahati mbaya, ni jambo la lazima!

Sasa fikiria hivi..
Unaweza kuwa na ujuzi wa hali ya juu sana kama Michael Kapinga, mtaalamu
wa brand identity na graphics design (100%), lakini kama hujitokezi, hujitangazi, na hujioneshi kwa watu (0% visibility), fursa zitakupita pembeni
kama upepo wa bahari!
Screenshot_20250402_130112_WhatsAppBusiness.jpg

Kama Coca-Cola ingeamua kukaa kimya, watu wangekunywa maji zaidi Lakini angalia leo watu wanajua kuwa soda kama Coca-Cola si nzuri kiafya, lakini bado wanakunywa zaidi kuliko maji! Kwa nini? Kwa sababu Coca-Cola imejitengenezea jina, inajitangaza, na imeshajulikana
kila mahali!

Hata kama umejifunza kitu kidogo kama data entry, au graphics design kwa kutumia Canva lakini unaamua kukaa kimya haushei kazi zako na sisi unasubiri fursa zijilete zenyewe, basi utangoja sana!

Kumbuka kama kweli unataka mafanikio, jitangaze kama Coca-Cola inavyopiga matangazo!
Wewe share kazi zako usiogope kukosolewa pia
tengeneza connections na fanya collabo kama brand zinavyoshirikiana! mfano sisi tuna community yetu ya Crypto TZ pale telegram huwa tunatafuta kazi na kuzifanya kwa pamoja.
Screenshot_20250403_102547_Telegram.jpg

Tumia mitandao ya kijamii ipasavyo, haswa Linkedln!, twitter na ikiwezekana Jamii forums kwote huku kuna wateja utawapata.

Hakikisha unajijengea jina kwenye niche yako kiasi kwamba watu wakisikia kitu fulani tu automatically wanakufikiria wewe na kukusogezea fursa!!

Mwisho kabisa hebu twende kwa mfano hai Ukisikia "Dogo wa Nonde au ukisikia neno research moja kwa moja mtu atakayekujia akilini ni Festo
Kaguo na ukisikia soda simply utawaza jina la Coca-Cola!
Same to wewe ukisikia niche yako, watu wanapaswa kukuwaza wewe!
Jitokeze! Usiwe msanii asiye na mashabiki!
#dogowanonde
Can't escape the math.
 
Hii ni kweli kabisa mkuu. So hiyo Group lenu la whatsapp mnajihusisha na nn kingine? Maana mamno ya Crypto wengine yametupita pembeni sana
 
Happy thursday
Leo nimekuletea hii story ambayo kwa asilimia kubwa itawahusu watu wanaojivuta au kuogopa kufanya kitu kwa sababu mbali mbali kama vile kuogopa maneno ya watu n.k

Sasa tuanze, hebu fikiria kampuni ya Coca-Cola ambayo ni moja ya brand kubwa zaidi duniani. Inajulikanakila kona ya dunia, lakini bado inatumia mabilioni ya pesa kwenye kufanya matangazo kila mwaka! Unajua kwa nini? Kwa sababu kujulikana si jambo labahati mbaya, ni jambo la lazima!

Sasa fikiria hivi..
Unaweza kuwa na ujuzi wa hali ya juu sana kama Michael Kapinga, mtaalamu
wa brand identity na graphics design (100%), lakini kama hujitokezi, hujitangazi, na hujioneshi kwa watu (0% visibility), fursa zitakupita pembeni
kama upepo wa bahari!
View attachment 3291885
Kama Coca-Cola ingeamua kukaa kimya, watu wangekunywa maji zaidi Lakini angalia leo watu wanajua kuwa soda kama Coca-Cola si nzuri kiafya, lakini bado wanakunywa zaidi kuliko maji! Kwa nini? Kwa sababu Coca-Cola imejitengenezea jina, inajitangaza, na imeshajulikana
kila mahali!

Hata kama umejifunza kitu kidogo kama data entry, au graphics design kwa kutumia Canva lakini unaamua kukaa kimya haushei kazi zako na sisi unasubiri fursa zijilete zenyewe, basi utangoja sana!

Kumbuka kama kweli unataka mafanikio, jitangaze kama Coca-Cola inavyopiga matangazo!
Wewe share kazi zako usiogope kukosolewa pia
tengeneza connections na fanya collabo kama brand zinavyoshirikiana! mfano sisi tuna community yetu ya Crypto TZ pale telegram huwa tunatafuta kazi na kuzifanya kwa pamoja.
View attachment 3291878
Tumia mitandao ya kijamii ipasavyo, haswa Linkedln!, twitter na ikiwezekana Jamii forums kwote huku kuna wateja utawapata.

Hakikisha unajijengea jina kwenye niche yako kiasi kwamba watu wakisikia kitu fulani tu automatically wanakufikiria wewe na kukusogezea fursa!!

Mwisho kabisa hebu twende kwa mfano hai Ukisikia "Dogo wa Nonde au ukisikia neno research moja kwa moja mtu atakayekujia akilini ni Festo
Kaguo na ukisikia soda simply utawaza jina la Coca-Cola!
Same to wewe ukisikia niche yako, watu wanapaswa kukuwaza wewe!
Jitokeze! Usiwe msanii asiye na mashabiki!
#dogowanonde
Can't escape the math.
Ndio maana ssisi tunaenda na Lissu
 
Ni
Hii ni kweli kabisa mkuu. So hiyo Group lenu la whatsapp mnajihusisha na nn kingine? Maana mamno ya Crypto wengine yametupita pembeni sana
Ni telegram tunafanya freelancing
 
Back
Top Bottom