Uki-delete file/folder katika kompyuta linakwenda wapi?

Uki-delete file/folder katika kompyuta linakwenda wapi?

Swali zuri sana.

Uki "delete" file kwenye kompyuta file hilo halifutiki linabaki kwenye "hard disk" yako. Unapo delete kinachofanyika ni kubadili jina tunla hilo file na unaijuwa hulioni tena bali "content" ya hilo file hubaki sehemu liliyowekwa mpaka kinapokuja kuandikwa kingine kwenye sehemu ile lilipokuwepo.

Ndiyo maana "files" zilizokuwa deleted zinaweza kuwa "recovered" kwa kutumia "data recovery softwares".
Nimependa ufafanuzi wako, Ila kama bado file linabaki kwenye computer mbona space inaongezeka baada ya kufuta hizo file ilhali bado ziko kwenye hiyo hard drive?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki nihivi. Computer haipotezi file,wala forder lolote. Wewe ukifanya delete basi computer inachofanya ni IGNORE hilo file, na kwa jinsi nilivyo kuelewa unataka kujua ule ujazo wake unakwenda wapi?ni hivi computer inahesabu zile byte za file lako na sio kama ujazo,uzito fulani wa mzigo ambao una mass,hapana ila computer inafanya kuhesabu byte tu na ndio ukifanya delete inaacha kuhesabu hilo file hivyo unakua haulioni tena japo ukifananya recovery utalipata maana lipo.kwahiyo ukubwa wa file sio ujazo kama wa mizigo yetu ya kawaida.
 
Swali zuri sana.

Uki "delete" file kwenye kompyuta file hilo halifutiki linabaki kwenye "hard disk" yako. Unapo delete kinachofanyika ni kubadili jina tunla hilo file na unaijuwa hulioni tena bali "content" ya hilo file hubaki sehemu liliyowekwa mpaka kinapokuja kuandikwa kingine kwenye sehemu ile lilipokuwepo.

Ndiyo maana "files" zilizokuwa deleted zinaweza kuwa "recovered" kwa kutumia "data recovery softwares".
Huyu hajauliza kiutaalamu wa software, ni kama chagizo, likifutika linakwenda wapi? Hata hapo kwa hard disk, umesema lingine likiwekwa mahali pake, lenyewe hutoweka, nako hapo atauliza tena linaenda wapi? Jibu sahihi alishajibiwa kwa mfumo wa swali ktk post za juu, kwani ulipolitengeneza ulilitoa wapi? Nae ajifikirishe kidogo.

Jibu la Mdau huyu linanikumbusha mada moja, " tukifa tunakwenda wapi" watu walijibu, tulipokuwepo kabla ya kuzaliwa na hali ileile tuliyokuwa nayo awali, nalo pia ni chagizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Space ya harddisk inaongezeka kwa sababu OS(Windows,Android etc) inaihesabu hiyo nafasi ipo wazi kuwekwa kitu kingine.

Hivyo itakapoenda kuweka kitu kingine itaandika juu ya kile kilichokuwepo.

Kwahiyo kimsingi ukifuta kitu kwa njia za kawaida sio kwamba kinaondoka kwenye HDD lakini OS inatambua tu kwamba eneo fulani liko wazi kuwekwa kitu kingine kwamba kilichopo mwenyewe amesema sio muhimu tunaweza kuweka kingine.

Lakini kuna njia za kitaalam za kufuta vitu ambapo hakuna namna unaweza kuzirejesha kwa sababu inaenda kurejesha sehemu za HDD zinazotunza vitu kwenye hali yake ya kawaida.

Kuhusu kudelete kwa kutumia delete key au shift+delete ni kwamba ukitumia delete pekee file litaenda kwenye recyclebin ambapo unaweza hata ww ukarerestore ukilihitaji. Ukitumia shift + delete haliendi kwenye recyclebin ndy maana unaambiwa hutoweza kulirejesha kwa njia ya kawaida ni hadi utumia software nyingine.
Sasa kama linakuwa lipo kwenye hard disk kwanini space ya hard disk huwa inaongezeka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear comrades if you want to recover your deleted files/folders that's another issue, but if you want to gain more disk space or clean your hard disk completely without recovering of any file which has been deleted, just download Ccleaner setup and install in your computer, I have been using this setup for many years and it's the best. Your computer/laptop will be anew and more speedier like the first time you bought it.
Ccleaner setup.png
 
Kwani ulivyolitengeneza hilo faili lilikuja kutoka wapi? Swali lako ni kama vile ulitaka kapu la uchafu ulione na uchafu uuone uupeleke jalalani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nijuavyo, unapotengeneza folder you are writing on a disk. Sasa vipi kuhusu kulifuta?

hata bibi alikuwa binti.
 
Karibu tupe maelezo ya kitaalam kiongozi.

hata bibi alikuwa binti.

Mimi si mtaalamu wa computer Ila ni mtumiaji wa computer......hivyo nilitegemea kupata maelezo yenye maana ili nijiongezee maarifa kwenye matumizi yangu ya computer.......
 
As

Asante kwa Maelezo yako safi. Je itaweza ku-affect memory ya kompyuta yangu?
Kwa mfano kabla ya kufuta HDD yangu inasoma used 330gb let say na free 150gb.

Haiwezi ku effect kwa kuwa sehemu iliyopo inachukuliwa kuwa ni tupu kwa kuwa sahemu hiyo itakuwa replaced na unachoandika.

Ukiona hard disk yako ina memory ndogo kuliko files unazotumia na ulizonazo au yaliopo basi elewa kuwa kuna hidden files ambazo huzioni. Au kuna setting ya kuweka muda mrefu wa kuzi rewrite files zilizokuwa deleted.
 
Huyu hajauliza kiutaalamu wa software, ni kama chagizo, likifutika linakwenda wapi? Hata hapo kwa hard disk, umesema lingine likiwekwa mahali pake, lenyewe hutoweka, nako hapo atauliza tena linaenda wapi? Jibu sahihi alishajibiwa kwa mfumo wa swali ktk post za juu, kwani ulipolitengeneza ulilitoa wapi? Nae ajifikirishe kidogo.

Jibu la Mdau huyu linanikumbusha mada moja, " tukifa tunakwenda wapi" watu walijibu, tulipokuwepo kabla ya kuzaliwa na hali ileile tuliyokuwa nayo awali, nalo pia ni chagizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni open forum na kila mmoja wetu anaelezea kilichoulizwa kwa upeo wake.
 
Ukiandika na kuweka nukta inatakiwa zisizidi tatu. Sielewi hizo nukta ulizojaza wewe zinaashiria nini?

Ni mazeoa tu...

Napenda kuweka nukta badala ya space......

Kwani huwa inaleta maana mbaya kiuandishi.....!!?
 
kwenye computer hufuti file bali unafuta address ya hilo file. mfano posta, unapotuma mzigo wako unaupa address na wao huitumia hiyo address kukufikishia mzigo wako, address ikipotea au kufutika haimaanishi kuwa mzigo umepotea bali hawajui unatakiwa upewe huduma gani, address ikipatikana na mzigo utaupata...vivyo hivyo computer devices...ukidelete file simply unadelete address ya hilo file lakini file linakuepo na recovery softwares zinafanya recovery ya address ndio maana utaona mafile mengi hata site za internet ulizofungua zaman...kwahiyo ukitaka kufuta file kwenye computer ili wasiweze kufanya investigation, fungua Hard disk ana upasue ile disk ndani au kama ni SSD choma moto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom