Ukerewe: Ndugu wa marehemu wa MV Nyerere waanza kupokea "kifuta machozi" cha milioni 1

Fedha hizo pia zitatumika kujenga uzio na
makaburi wanakozikwa baadhi ya waliokufa
kwenye ajali hiyo iliyotokea Alhamisi Septemba
20, 2018.
 
Back
Top Bottom