Ukerewe, Mwanza: Polisi ajinyonga kwa kipande cha chandarua

Ukerewe, Mwanza: Polisi ajinyonga kwa kipande cha chandarua

Mimi naona pengne ugumu wa maisha, wanajeshi wenyewe wanakiri kuwa wapo vizuri kifedha tofauti na hao polisi, muda mwingne tambua kazi hzi mbili watu wanamua iwe ni wito mwingne anamua kuwa polisi baada ya kuukosa uanajeshi hapo anakuwa anafanya ilimradi.

Wakati mwingne msongo wa mawazo kwa kila jamii nacho chaweza kuwa chanzo mtu kuchukua maamuzi magumu!
Ina maana jeshi na polisi wana mishahara tofauti mkuu???
 
Hao ndo Wairinga kujinyonga tu kitu kidogo utatuzi kujinyonga
 
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa askari huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe.

Amesema baada ya uchunguzi na utaratibu kukamilika mwili utasafirishwa kwa mazishi mkoani Iringa.

Kamanda Msangi amesema mwili huo ulibainika baada ya harufu kutoka ndani ya nyumba yake na mlango ulipovunjwa ulikutwa ukining’inia.

Mwili wa askari huo uligunduliwa jana Ijumaa Desemba 29,2017. Amesema kipande cha chandarua kilifungwa juu ya dari.

Chanzo; Mwananchi
Haya majina yanatabiri mengi ! Kalongola" kwa kinyalu nafikiri maana yake "katangulia"!
 
Hapa nilitaka niwa tetee wanyalu, kwamba na wasukuma wanajinyonga pia si wahehe tu,...kufija mwisho,nakuta mwana iringa tena!Dah
 
Hivyo vitakua ni vile vyandarua vinavyosemekana zina maliza nguvu za kiume, Ila kwa mhehe haishangazi akikosa kifaa anaweza kujinyonga hata kwa Uzi wa mlenda!!!
 
Ukweli ndiyo huo, hadi wanajeshi wa jeshi la wananchi wanakiri hvyo,hadi police wanalitambua ilo!
Mishaara na posho ni sawa siku hizi. Zamani wanajeshi waliwazidi polisi na magereza posho tu lakini kabla ya uchaguzi Kikwete aliwapandishia majeshi mengine posho wakalingana na JWTZ. Sasa hivi wote wanakula laki tatu kama posho majeshi yote hata zimamoto.
 
Watu wa Iringa wanapenda kujinyonga
nazani depo wanapaswa kuongeza nguvu kwenye mafunzo ya saikolojia ya askari ... nahisi kuna shida sehemu kwa matukio ya askari wengi
 
Back
Top Bottom