Ukerewe, Mwanza: Polisi ajinyonga kwa kipande cha chandarua

Ukerewe, Mwanza: Polisi ajinyonga kwa kipande cha chandarua

Mi nashauri tu hawa polisi wetu ifike mahali serikali iamue tu kwa dhati kabisa tofauti ya mwanajeshi na polisi iwe sare na majukumu tu lakini kozi wapige moja maana mbona hatusiki hizi kesi kwa wanajeshi
Matatizo mengi ukichimba saana utakuta sababu kuu ni mapenzi au hela,
na mapenzi nayo hela inahusika.
tatizo ni hela sio kozi
.
 
Jamani kuna mzimu gani unaendelea kuliandama jeshi letu pendwa maana si kwa matukio haya! Mara mwingine aue mpenzi mara huku mwengine kajinyonga. Mungu amuweke mahali anapostahili askari wetu. Amina!
 
Mi nashauri tu hawa polisi wetu ifike mahali serikali iamue tu kwa dhati kabisa tofauti ya mwanajeshi na polisi iwe sare na majukumu tu lakini kozi wapige moja maana mbona hatusiki hizi kesi kwa wanajeshi
Maslahi pia ya police yaboreshwe
 
Matatizo mengi ukichimba saana utakuta sababu kuu ni mapenzi au hela,
na mapenzi nayo hela inahusika.
tatizo ni hela sio kozi
.
Inaweza kuwa ni sababu lakini kunahili Mimi naliona watu wengi waliokuwa polisi walienda kama last option so kiuhalisia hawaipendi kazi ile sababu lengo lao lilikuwa ni kupata pesa na si kufanya kazi ya uaskari ndiyo maana tunahichi kitu tunakiita wito, kama uliitiwa uwe mtu Fulani hata kama kwa malipo kidogo utaifanya ile kazi maadam unaipenda, mambo ya kukidhi mahitaji yako ya kifedha ni jambo jingine nje ya wito wako...
 
Kilichowastua wengi sio *Kujinyonga* bali neno *Polisi*.

Nauliza ,, watu wangapi duniani wanajinyonga ????.

Tukiondoa Cheo cha kazi,,, je huyu Bwana sio Binadamu??

Au ndo tuseme ,ukiwa Polisi ,moyo wako na Akili vinakua vya Roboti???.

Huyu bwana ,atabaki kua Binadamu ,nawenda asingekua Polisi angekua mkulima ,kwaiyo suala kubwa hapa ,tusikitike *Kwa kumpoteza mwanadamu mwenzetu * lkn sio *Kuchukulia Upolisi kumuona mtu Wa maajabu sana*... Naye nibinadamu. Wenda kuna Jambo lililomkwaza ,nasababu hakupata Msaada kwa wakati sahihi akajikuta anafanya iko kitendo !!!.

Rest in Peace Mkuu !!.
 
Mi nashauri tu hawa polisi wetu ifike mahali serikali iamue tu kwa dhati kabisa tofauti ya mwanajeshi na polisi iwe sare na majukumu tu lakini kozi wapige moja maana mbona hatusiki hizi kesi kwa wanajeshi
Nani kasema ukiwa mwanajeshi basi ubinadamu unakutoka ??.

Angalia Marekan au Israel ,now days wanajeshi ndo wanaongoza kujiua ,, sasa kuna wanajeshi wenye mazoezi magumu km marekan au Israel ,??.

Jifunze kutenganisha *Ubinadamu* na *Kazi*.
 
Matatizo mengi ukichimba saana utakuta sababu kuu ni mapenzi au hela,
na mapenzi nayo hela inahusika.
tatizo ni hela sio kozi
.
Mimi naona asilimia kubwa inachangia na ugumu wa maisha, msongo wa mawazo, inabidi serikali iweze kulitambua ili mapema kabla hawajapotea wengi!
 
Nani kasema ukiwa mwanajeshi basi ubinadamu unakutoka ??.

Angalia Marekan au Israel ,now days wanajeshi ndo wanaongoza kujiua ,, sasa kuna wanajeshi wenye mazoezi magumu km marekan au Israel ,??.

Jifunze kutenganisha *Ubinadamu* na *Kazi*.
Mkuu kama ulivosema kwenye post yako iliyopita kwamba mbali na kuwa askari pia nao ni binadamu kama tulivokuwa sisi raia na kila kitu the same lakini rate ya kujiua kwa wanajeshi huwezi linganisha na raia au utasema sababu raia ni wengi kuliko wanajeshi!!!!!?. Hilo siliamini sana lakini ninachokijua kidogo na wengine wanaweza nisaidia kwa hili jeshini kunavitu wanafanyiwa na kufundishwa mwisho wa siku vinawasaidia sana kwenye maamuzi wakati wa hasira.
 
Hakika nikweli Mafunzo ya jeshi kuna vitu wanaongezewa vya ziada ,, nakwanza jeshi kwanza kitu wanakifanya nikuwapa nguvu ya kuona mambo yote nikawaida.

Ndomaana Ndugu yako wakaribu anaweza kufa Leo ,,lkn Jeshi likakuambia unapaswa uende Kongo !!. Na ukaenda Kongo !!.sasa hiii sprit ya kuchukulia mambo poaa tuu ndo polis hawana.

Lkn pia,,Polis wanakua Trained kwa mipaka kutokana na nature yao kazi ambayo kiuhalisia haiitaji complication sanaa ndo maana wanapiga mazoezi at the same time wanaingizwa darasani Ila jeshini niww na afya yako mpaka uombee pooo, ukitoka huko kweli umeiva.

Mi nadhani polis kitu wanachoitaji ,,nidarasa LA saikolojia tuuu ,hiii ndo imewapunguaa ,maana wao hawafundishwi kuchukulia mambo poaa nabado saikolojia pia wanaikosa ..sasa hii inawapa shida.

Mwisho mkuu...Tukubali tu ivi Linapokuja suala la Ubinadamu halijalishi we ninani +nacheo chako na upo wapi.

umesahau habar za wanajeshi kuua wapenzi wao ??.
 
Back
Top Bottom