Uke unaotoa sauti mfano wa kujamba

Uke unaotoa sauti mfano wa kujamba

Hali ya uke kutoa sauti kitaalam hufahamika kama [Queef] au [Vaginal flatulence], ni hali ambayo hewa hutoka kwenye uke uliobana, ambapo hewa hiyo huweza kutoka kwa sauti ambayo inafanana na hali ya kujamba, lakini hali hii au hewa hii inayotoka ukeni huwa haina harufu kama ile inayotoka sehemu ya haja kubwa, isipokuwa hupelekea mwanamke kujihisi vibaya mbele ya mwenza wake, hali hii ni hali ya kawaida na wala haina madhara yoyote kiafya.
Kuna imani kwamba ile hewa ikiingia kwene urethra ya mwanamme inaweza sababisha Busha......🤣
 
Back
Top Bottom