Uke unaotoa sauti mfano wa kujamba

Uke unaotoa sauti mfano wa kujamba

Inatokea kulingana na hewa kujaa wkt wa pumpin na aina fulani ya mikao inachangia
 
Hali ya uke kutoa sauti kitaalam hufahamika kama [Queef] au [Vaginal flatulence], ni hali ambayo hewa hutoka kwenye uke uliobana, ambapo hewa hiyo huweza kutoka kwa sauti ambayo inafanana na hali ya kujamba, lakini hali hii au hewa hii inayotoka ukeni huwa haina harufu kama ile inayotoka sehemu ya haja kubwa, ispokuwa hupelekea mwanamke kujihisi vibaya mbele ya mwenza wake, hali hii ni hali ya kawaida na wala haina madhara yoyote kiafya.
Yaan siipendi basi tu
 
hii ipo kwa wanawake wote kuna mkao akikaa tu vigelegele na shangwe kama kawaida
 
Kuna dem mwembamba nalikuw mrembo hara siku moja nimemaliza kumginga nasikia kitu kinajamba pwiiiii,pwiiiii akaziba na kiganja linajamba tu, nijiskia bibaya nikamkinai ki ukweli alikuwa na bonge la shimo
 
Back
Top Bottom