UKAWAUpinzani fanyeni hili kuendana na kasi ya CCM

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
677
Kuwachanganya ccm ..kipindi hiki cha bunge, upinzani warudi majimboni wagawane majukumu na kufanya mikutano mwanzo mwisho alafu waonyeshe live tv zote za kibiashara! waanze na jimbo la Mkuchika..

viongozi wote wawepo pamoja na Lowasa! iwe kama kipindi cha kampeni..wakifanya hivi naamini kuna wabunge wa ccm watakimbia bunge na kuelekea majimboni kwao.


Mkifanya hili hakika Bunge litabaki tupu! wote watakimbilia majimbo.
 
Back
Top Bottom