UKAWA: you'r sowing a seed of your own destruction

Tembulukoje

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
397
Reaction score
143
Kuwachukuwa hayo makapi makubwa mawili, ilihali Slaa na Lipumba wameukimbia ukawa, ndo kifo chenu. Watu makini kuwaelewa kwa sasa ni ngumu sana. Mtabaki na vijana wahuni tu na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari. Lowassa na Sumaye wote walikuwa ndan ya mfumo wa Ccm kwa vipindi tofauti. Leo hii wanajiunga na nyie ili kuitoa Ccm madarakani na walete mabadiliko, yapi? Hebu acheni kutudanganya cc co watoto.

Na istoshe, hao hao mnaowapokea ndo mlishawahi kuwashambulia kama wezi na mafisadi sugu, mbona mnakuwa wanafiki na wadhandiki wanene hvo!?

Hii ni hatari sana, mabadiliko ya kweli yangeletwa na "REAL UKAWA" hata bila hayo makapi na hapo ndo tungeweza kuwasapoti na kuwaelewa.

Lakini kwa hayl, inaonesha na nyie pie hamko na nia njema na hii nchi, dhambi ya Slaa na Lipumba lazima iwatafune, Kumbukeni Lipumba ndo alimuwa mwasisi rasimi wa ukawa.
 
Dah siasa bwana

Kwa nini tusikubaliane na ukweli.....tukachomoa leaf moja kwenye kitabu cha mwalimu.....tukaangalia tylipojikwaa....kisha tukajisahihisha na kusonga mbele tukiwa Imara zaidi??
 
tuanze kudefine makapi ni nini????
kama ni watu waliotoka ccm .....basi hata dk. slaa na lipumba nao walitoka hukohuko....
kama ni watu waliokatwa ccm kwenye uteuzi...basi hata dk.slaa naye alikatwa kabla ya kuja CHADEMA...
ama siasa ulianza kufuatilia jana....??
 
Afadhali mkuu, maana me ni kijana; na tena ni ukweli usiopingika kuwa vijana wengi wanakimbilia UKAWA ila kwangu Mimi pamoja na uozo mwingi Wa CCM inakuwa vigumu sana kuwaamini UKAWA. Sioni MTU Mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadliko chanya ndani ya nchi hii. Naona vijana wengi wanafuata mkumbo eti kisa wameichoka CCM but hawaangalii ni nani wanayetaka kumpa nchi hii. Yaani kwa hali hii naona badi tuna safari ndefu sana.
 
Mkuu unatumia KIUNGO gani kufikiri,,,!!
 
Wewe ndiyo bado unajiona una safari ndefu. Wenzako wamekwisha fika.
 
Hajambo Lowassa? kampeni ataiweza ama anakaimisha kwa mgombea mwenza?
 
Uandishi wako unaonesha bado unanyonya
 
Afadhali mkuu, maana me ni kijana; na tena ni ukweli usiopingika kuwa vijana wengi wanakimbilia UKAWA ila kwangu Mimi pamoja na uozo mwingi Wa CCM inakuwa vigumu sana kuwaamini UKAWA. Sioni MTU Mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadliko chanya ndani ya nchi hii. Naona vijana wengi wanafuata mkumbo eti kisa wameichoka CCM but hawaangalii ni nani wanayetaka kumpa nchi hii. Yaani kwa hali hii naona badi tuna safari ndefu sana.
Sasa kamanda. Unataka kuletewa mabadiriko na nani? Je nchi yako mwenyewe wataka kumpa nani?
 
Agenda Kuu ni Moja : Kuondoa CCM madarakani mengine tutachuja taratibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom