UKAWA: you'r sowing a seed of your own destruction

UKAWA: you'r sowing a seed of your own destruction

Afadhali mkuu, maana me ni kijana; na tena ni ukweli usiopingika kuwa vijana wengi wanakimbilia UKAWA ila kwangu Mimi pamoja na uozo mwingi Wa CCM inakuwa vigumu sana kuwaamini UKAWA. Sioni MTU Mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadliko chanya ndani ya nchi hii. Naona vijana wengi wanafuata mkumbo eti kisa wameichoka CCM but hawaangalii ni nani wanayetaka kumpa nchi hii. Yaani kwa hali hii naona badi tuna safari ndefu sana.
Nyumbu hawataki kusikia ukweli, wao ni kufuata mkumbo, acha waliwe na mamba maana common senses wameacha nyumbani!! Mi ni kijana ma nitapiga kura sababu ni haki yangu ya msingi na pia nina AKILI ya kutafakari na kujua nini ni sahihi na nini sio sahihi.
 
Naamini Hata Baba Wa Taifa Huko Akhera Tayari Kajiunga Na Timu Ya UkawaUkawa Oyeeeeee,
Lowasa Oyeeeeee!
 
Tokea Lini Uliwaunga Mkono Ukawa Na Kwa Lipi?

ulitaka niku-pm au nikujulishe ktk simu yako?? Okei, nilikuwa naamini kama ndo watu wa kuleta mabadiliko mwaka huu ndio maana nilikuwa nawaunga mkono, sikuwa na haja ya kupayuka humu kama watu wengine!
 
Nyumbu hawataki kusikia ukweli, wao ni kufuata mkumbo, acha waliwe na mamba maana common senses wameacha nyumbani!! Mi ni kijana ma nitapiga kura sababu ni haki yangu ya msingi na pia nina AKILI ya kutafakari na kujua nini ni sahihi na nini sio sahihi.
mara kumi nyumbu hukimbia wenyewe ila hawa ng'ombe wanaopakiwa kwenye malori ya kijani ni shida hawajui watokako wala wanapoenda kuchinjwa. ni shidaah!!
 
Title na ulichoandika ni tofauti sana
What seed has been bestowed by ukawa how they will be destroyed
How they 'll buried
How are they'll risen from hell
When n how they 'll ascending to the souls of Tanzanian?
That was things I have been thinking that your thread will contain but nothing as foolish as ur
Nitakuja na thread ya title yako mapema mwez ujao ni kitu nilishakiona na nitajibu maswali niliyokuuliz.
Be certain on what u write and criticize
Long live ukawa bestow chadema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom