Ukawa na makapi yenu hatudanganyiki, imekula kwenu

Ukawa na makapi yenu hatudanganyiki, imekula kwenu

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
UKAWA: you'r sowing a seed of your own destruction.
Kuwachukuwa hayo makapi makubwa mawili, ilihali Slaa na Lipumba wameukimbia ukawa, ndo kifo chenu.

Watu makini kuwaelewa kwa sasa ni ngumu sana. Mtabaki na vijana wahuni tu na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari. Lowassa na Sumaye wote walikuwa ndan ya mfumo wa Ccm kwa vipindi tofauti.

Leo hii wanajiunga na nyie ili kuitoa Ccm madarakani na walete mabadiliko, yapi? Hebu acheni kutudanganya cc co watoto. Na istoshe, hao hao mnaowapokea ndo mlishawahi kuwashambulia kama wezi na mafisadi sugu, mbona mnakuwa wanafiki na wadhandiki wanene hvo!?


Hii ni hatari sana, mabadiliko ya kweli yangeletwa na "REAL UKAWA" hata bila hayo makapi na hapo ndo tungeweza kuwasapoti na kuwaelewa. Lakini kwa hayl, inaonesha na nyie pie hamko na nia njema na hii nchi, dhambi ya Slaa na Lipumba lazima iwatafune, Kumbukeni Lipumba ndo alimuwa mwasisi rasimi wa ukawa.
 
Ubinafsi na tamaa ya madaraka ndiyo tatizo la UKAWA. Sasa nimeamini pale mwenye CHADEMA ( MBOWE ) aliposema Chama hicho kinapokea mtu yeyote ila alisahamu kumalizia " na kumpa madaraka au fursa ya uongozi ". Wale marafiki zake LOWASSA aliowataja kuwa wanamwezesha kifedha hawajaanza kuja, bado wanaangalia upepo! Unafikiri wakija atawatosa? halafu unawajua vzr hao marafiki zake? Wangesimama kugombea Urais wewe ungewapakura yako? Akishinda Urais kwanini 80% ya Baraza la Mawaziri wasiwe watu wake kutoka CCM? Halafu lkatae kuitwa CCM B? Kama leo ameanza kufanya anavyotaka akiwa Rais nani wa kumzuia na nyie mmekula vyake?. CHADEMA na UKAWA wamekiuka kabisa Demokrasia wanayohubiri, wameshindwa kusimamia values zao! kwa nini lakini? au ni Mkwanja? penye udhia penyeza rupia? nani tena ataikomboa Tanzania jamani? Hawa wameshindwa labda kije chama kingine na UMOJA mwingine! Nawalilia DR SLAA na LIPUMBA.
 
Back
Top Bottom