UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

UKAWA ipo kwenye mioyo ya nyumbu, Malofa na wapumbavu TU.

Watanzania tumetulia tunachapa kazi

Mahaba yakizidi ni upofu . Makusudi ya ukawa ni mema kwa nchi na watu wake. Huwezi kuiiga democrasi bila kufuata utaratibu wake.
 
Mahaba yakizidi ni upofu . Makusudi ya ukawa ni mema kwa nchi na watu wake. Huwezi kuiiga democrasi bila kufuata utaratibu wake.
Kusudi linaweza kuwa jema kwa nje ila kwa undani ulofa ndio umejaa
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
 
Kaka UKAWA iko kwenye mioyo ya WaTz kwa sababu. Hizi mbwembwe za Lumumba zitapita lakini makusudi ya ukawa yatasimama.

Magufuli hata kama ni mzuri kumbuka ni mwanadamu. Taasisi zetu bado ni kubogoyo.
Ukawa ipo kwenye moyo wako usitusemee jisemee nafsi yako Hapa kazi tu kudada deki
Wapinzani wamekosa agenda wanatapatapa
 
Ukawa ipo kwenye moyo wako usitusemee jisemee nafsi yako Hapa kazi tu kudada deki
Wapinzani wamekosa agenda wanatapatapa

Agenda gani unaongelea bw. mdogo !! ya MAJIPU au ????!!
Magufuli mwenyewe amechangamkia yaliokuwa yanalalamikiwa na ukawa au unajifanya kipofu ?!
Kichwa chako kitumie vizuri
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Mwapachu alihamia UKAWA chini ya chama gani?
 
Sasa kaa hapo usubili ukawa kama utaisikia tena, wenye akili washastuka gemu LA ukawa linaenda doda, hali tete, katibu mwenyewe mpya hana mvuto wa kisiasa wala mmashiko kwa jamiim
Kipingu,Mimi si mwanachama wa chama chochote. Kwa mtizamo Wangu kudhoofika kwa opposition si jambo kufurahia.Ukitaka kuona umuhimu wa opposition basi futa opposition au jenga weak opposition.Kama unafahamu mantiki ya watchdog roles basis usifurahie kufa au kudhoofika kwa upinzani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom