UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

Wenyewe ukawa awatoyumba hao wanaoruka ruka ni wachumia tumbo

hao walidhani kujiunga na chama ni kupata maendeleo makubwa
wanahisi kuhamia ccm watapata japo vyeo washibe na watoto wao
siasa ni kujitolea ndio mana hayati (Julius kambarage nyerere) amefariki akiwa na maendeleo ya kawaida
sio awa viongozi wetu wa Leo wakipewa uongozi miaka miwili tu mabilionea.
 
MTOA mada nadhani wewe ni Asenga, husyejua kitu lakini bado unajiita mwanasiasa, nikujuze tu mwapachu na wenzake hata ukawa hawawezi pata nafasi za uongozi wwte na wara hawakuwa na mchango wwte ukawa km ilivyo kwa ccm kwani waliisaidia nini ccm zaidi ya kuiba mali za nchi? bado hawakushiba walidhani wakija ukawa na ikashinda wangepata fursa ya kuendelea kuiba sasa hata wakirudi cccm makufuli wezi hawataki wajiandae kuburuza miguu na mikono km yura zama zao zimekwisha
 
Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
Hatuwezi kukubali mafisadi..Hao kina kingunge na EL bakini nao wenyewe
 
Mwambie huyo na wenzake wote. Wakati ule tukiwa tunamaliza elimu ya sekondari kidato cha sita kabla ya kwenda vyuoni tulikuwa lazima tuende National Service kwa mujibu wa sheria, na huko ilikuwa lazima upewe kadi ya chama kwa maana kwanza chama kilikuwa kimoja. Jee watasema vijana wa wakati huo walikuwa wanaipenda CCM?
Ndivyo ilivyo sasa hivi na Mwapachu katudhibitishia, kwamba heri kuwa CCM ili shughuli zake na washirika wake zisikwame. Hivyo sio chama cha moyoni hata kidogo bali kuna uanachama wa maslahi.
Watu kama Mbowe, Baregu, Lissu, Mdee, Seif nk nk ambao kwa nafasi na taaluma zao wangeweza kuwa ccm na maisha yakasonga mbele lakini kila siku wanapambana na virungu na mabomu na hawaachi ni wa kuwaangalia mara mbili mbili na kuwakubali kuwa ni wazalendo halisi sio maslahi.
Hebu watuambie, mtu kama Lissu leo akisema nahamia CCM sii itakuwa sherehe na pengine yaweza kufanywa siku ya mapumziko kitaifa?
Saruti kwako kamanda umenena ukweli mtupu.
"'''''''''''"'""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA

Bado jipeni moyo kwani UKAWA ipo juuu kwa juuuuuuuu!!!!!!!!!!!

Tunasubiri kifo cha CCM, kwani UKAWA bado tupo imara; Sisi ni wanachama wa CHADEMA ambao hatudanganyiki hata siku moja.

HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE......

CCM ENDELEENI KUOTA NDOTO KUWA UKAWA INAKUFA KUMBE MTAKUFA NYIE.....
 
Hatuwezi kukubali mafisadi..Hao kina kingunge na EL bakini nao wenyewe

Hawa wote na wengine wanawanyima usingizi hata sasa.

Akili inagoma.jpg
 
Mie niko imara na Ukawa wanaopasuka wacha wapasuke tu mi Ukawa Daima Mbeleee
 
Hata waondoke wote, UKAWA ipo imara. Ameondoka Slaa, Lipumba sembuse wageni???.
 
Nani anazo habari za aliekua mgombea mwenza wa Lowasa kwa sasa kisiasa?
 
Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
Kwenye siasa yote yanawezekana,ulijua Leo El angekua chadema Na zile kauli zake anayetaka nihame mie ahame yeye Mimi sihami ng'oooo ziliishia wapi? Uliwahi kuwaza chadema wanaweza kupokea El hata siku moja kutokana Na tambwe zao kua huyu mtu kua ni fisadi papa?
 
Sasa kaa hapo usubili ukawa kama utaisikia tena, wenye akili washastuka gemu LA ukawa linaenda doda, hali tete, katibu mwenyewe mpya hana mvuto wa kisiasa wala mmashiko kwa jamiim
Kajifunze kutawadha kuondoa najisi
 
Kurudi huko alipotoka ni haki yake. Ila kukosa msimamo ni jambo la aibu hata huko aliporudi watakuwa hawana imani naye.

Hata kama ni njaa usiionyeshe waziwazi unajiaibisha mwenyewe.
 
Ninachoamini tunahitaji sana upinzani makini ili nchi hii isonge mbele. Wala tusidanganyike kuwa Mawazo ya upande mmoja yatajenga nchi. Mawazo mbadala ni muhimu mno katika kuongoza walio madarakani kujitafakari,kujikosoa na kuamsha fikra mpya ilikuleta mabadiliko. Hivyo ni muhimu chadema kujipanga kifikra na kimtazamo ili waweze kuja na mbinu mpya za ki upinzani zitakazo wasaidia kuleta kasi ya mabadiliko na hatimaye kushika dola kama wanahitaji.

Kwa mtu makini sio vyema kubeza upinzani, muhimu ni kujenga hoja zitakazo wa saidia waende mbele. Tunawahitaji sana kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Tanzania

Tunahitaji watu wenyenye mawazo chanya kama wewe
 
Kaka UKAWA iko kwenye mioyo ya WaTz kwa sababu. Hizi mbwembwe za Lumumba zitapita lakini makusudi ya ukawa yatasimama.

Magufuli hata kama ni mzuri kumbuka ni mwanadamu. Taasisi zetu bado ni kubogoyo.
UKAWA ipo kwenye mioyo ya nyumbu, Malofa na wapumbavu TU.

Watanzania tumetulia tunachapa kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom