UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

Nikikumbuka Hotuba ya Mbowe siku anampokea Lowassa 27thJuly,2015 alikuwa ni mtu mwenye kuamini kabisa kuwa sasa CCM inapasuka kabisa akaenda mbali zaid kuwaanda kisaikolojia Wana Chadema kuwa kuna kundi kubwa sana kutoka CCM linakuja hivyo wajipange kuwapokea.
Bahati mbaya alisahau kuwa Jakaya ndio Mwenyekt pekee wa CCM alietumikia Chama kuanzia chini kabisa na anakijua Chama na wanachama zaid na anajua tabia zao na Mapenzi kwa chama chao, inapokuja kuchagua chama au mtu siku zote huchagua Chama. Iliwahi kutokea 1983 CCM znz ilipobidi kuchagua Rais Aboud Jumbe na CCM wengi walichagua Chama japo walikuwa wanaunga Mkono msimamo wa Jumbe wa Serikali tatu.
 
Watu wameamka siasa zisizo na manufaa na maneno kama ya uke wenza watu wamechoka mie kifo cha UKAWA na baadaye CDM nilikitegemea kwa kuwa sasa hivi hawana cha kunadi,mwanaume kaingia kazini.Na EDO ndo aliingia kaanua matanga.
 
Super Nintendo Sega Genesis, I couldn't picture that.... Hahaha.... CCM oyeeeee.
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA

Hao akina Mgeja wanahaki ya msingi kabisa kurudi CCM wala hawakulazimishwa kuja Ukawa.The same to Mwapachu.Ila zile sababu za Mwapachu kurudi CCM zimetupa UKAKASI.Kumbe CCM ni kila kitu bwana.Nawatakia kila la heri wanaorudi CCM.
 
Siwezi kumuamini CCM ni miaka mingi Imetutesa leo hiiiii tana kwa siku 130 tu mimi si mjinga wa kiwango hicho
 
Watu wameamka siasa zisizo na manufaa na maneno kama ya uke wenza watu wamechoka mie kifo cha UKAWA na baadaye CDM nilikitegemea kwa kuwa sasa hivi hawana cha kunadi,mwanaume kaingia kazini.Na EDO ndo aliingia kaanua matanga.

Mtakufa nyie CDM itabaki.Wasira huyo kila siku na makaratasi mahakamani..........
 
Kijana kwa sisi tulioshiriki uchaguzi 1995 tuliona wimbi lililotumwa kazi upinzani likirudi na kuponda upinzani,hii ilisababisha wananchi kupata picha kuwa upinzani ni usanii,watu waliamua kuendelea na CCM Mbowe katuuza,muda ukifika utagunduwa

Kwa hiyo na wewe ulikuwa mmoja wapo??Sasa kama usanii uko Upinzani kwanini mnawafuatilia??Ni mpuuzi tu ambaye ataiamini CCM maana Ujangili,Ujambazi,Wizi wa Mali za Umma vyote viko CCM na wanaofanya hayo ni CCM na Mwapachu amesema kwamba anarudi ili BIASHARA zake,ZA FAMILIA YAKE NA ZA WASHIRIKA WAKE zisiathirike,kwa mtu mwenye akili timamu wala huna haja ya kujiuliza mara mbili.

Ni bora kuwa Upinzani mara mia elfu kuli CCM .
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Imepasuka sehemu kubwa sana? nataka niingie huko, huo upenyo naweza kupita?
 
Hii siyo mara ya kwanza kwa wanachama wa CCM kukihama chama chao na baadaye kurejea. Unamkumbuka Masumbuko Lamwai, Shaibu Ally Akwilombe na Tambwe Hizza ambao walirejea CCM kwa mbwembwe tofauti na ilivyo kwa Mzee Mwapachu? Hao wote hawakuleta athari yoyote hasi kwenye ukuaji wa upinzani hapa nchini zaidi ya mmoja wao kurejea tena upinzani/CUF (Tambwe Hizza). Kaa utambue kwamba upinzani utazidi kuimarika kwa sababu vijana walio wengi wanauunga mkono wakiwa na dhamira ya kukiondoa chama dhalimu (CCM) madarakani.
 
Omary Kipingu nyie ni baadhi ya wasambaa wachache sana wenye akili za kushikiwa, wewe na yule Waziri wako na baadhi ya makapi machache, nakuomba usiwadhalilishe ndugu zangu akina Chakaza
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Tunataka utuambie wananchi wameacha kutozwa fedha hospitalini?, Dawa zipo?

He shule zinafanya vizuri? Wanafunzi wanapewa maswali na kuyaelewa?

Je bei za vitu vimeshuka?

Usiwe na akili ya kunguni
 
Kwa hiyo na wewe ulikuwa mmoja wapo??Sasa kama usanii uko Upinzani kwanini mnawafuatilia??Ni mpuuzi tu ambaye ataiamini CCM maana Ujangili,Ujambazi,Wizi wa Mali za Umma vyote viko CCM na wanaofanya hayo ni CCM na Mwapachu amesema kwamba anarudi ili BIASHARA zake,ZA FAMILIA YAKE NA ZA WASHIRIKA WAKE zisiathirike,kwa mtu mwenye akili timamu wala huna haja ya kujiuliza mara mbili.

Ni bora kuwa Upinzani mara mia elfu kuli CCM .
Nafikiri umesoma hotuba feki ya mwapachu,ukisoma magazeti hayo maneno hayapo,pili...ni wajibu wetu kueleza tunapoona wanasiasa wasanii iwe upinzani au CCM...,ajizi nyumba ya njaa....!
 
Ukawa mwana mkiwa ni ngumu sana kuishinda CCM daahh wanajua hawataki kuukubali ukweli wapo wapo tuuu
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Kwa sasa CCM ni chama kikuu cha upinzani
 
Nafikiri umesoma hotuba feki ya mwapachu,ukisoma magazeti hayo maneno hayapo,pili...ni wajibu wetu kueleza tunapoona wanasiasa wasanii iwe upinzani au CCM...,ajizi nyumba ya njaa....!

Ndiyo maana Zitto alisema kwamba tusiwaamini wanasiasa.Wanasiasa hafai hata kurumangia ugali
 
Makisudi ya ukawa yapo ila tumeruhusu mamluki kutoka ccm kuendesha ukawa,hii iliyopo haiendeshwi na majemedari walioiunda pale dodoma inaelekea kushoto badala ya kulia....wenye ukawa waliondolewa!
Yawezekana wewe ni kijana mdogo na hivo sikulaumu , historia inaonyesha huko nyuma sote tulikuwa ccm upende usipende. NA woote unaowaona leo wanaongoza mageuzi na upinzani nchini kwa namna moja au nyingine wamekuwa CCM.

Hivyo unapomuona mtu kama Seif amewahi kufika ngazi ya waziri kiongozi, Lowassa waziri Mkuu, Mimi nimewahi kuwa katibu wa wilaya etc . Unapoona mtu akitoka Lumumba na kuhamia huku UKAWA ni uzalendo ktk nchi yake (wake-up )
 
Omary Kipingu nyie ni baadhi ya wasambaa wachache sana wenye akili za kushikiwa, wewe na yule Waziri wako na baadhi ya makapi machache, nakuomba usiwadhalilishe ndugu zangu akina Chakaza
Unajua baàda ya kusoma uzi huu nikajiuliza huyu atakuwa ni msambaa gani mwenye akili za aina hii? Lakini ukichunguza sana waweza kuta ni kibarua wa kukata majani pale Mkuzi nyumbani kwa fisadi Kipipa (Lodi Lofa) na anafanya majaribio ya smartphone aliyopewa kuitumia kuripoti maendeleo ya garden mzee anapokuwa Masasi.
Ndio maana anatumia jina lake kamili ili mzee aone juhudi zake. Omary Kipingu Chadema inakuwa kwa kasi ya ajabu ambayo vigogo wa CCM wanaihofia lakini wewe mkata majani hulioni hilokwani makombo ya mezani kwa mwajiri yamekulemaza.
 
Yawezekana wewe ni kijana mdogo na hivo sikulaumu , historia inaonyesha huko nyuma sote tulikuwa ccm upende usipende. NA woote unaowaona leo wanaongoza mageuzi na upinzani nchini kwa namna moja au nyingine wamekuwa CCM.

Hivyo unapomuona mtu kama Seif amewahi kufika ngazi ya waziri kiongozi, Lowassa waziri Mkuu, Mimi nimewahi kuwa katibu wa wilaya etc . Unapoona mtu akitoka Lumumba na kuhamia huku UKAWA ni uzalendo ktk nchi yake (wake-up )
Mwambie huyo na wenzake wote. Wakati ule tukiwa tunamaliza elimu ya sekondari kidato cha sita kabla ya kwenda vyuoni tulikuwa lazima tuende National Service kwa mujibu wa sheria, na huko ilikuwa lazima upewe kadi ya chama kwa maana kwanza chama kilikuwa kimoja. Jee watasema vijana wa wakati huo walikuwa wanaipenda CCM?
Ndivyo ilivyo sasa hivi na Mwapachu katudhibitishia, kwamba heri kuwa CCM ili shughuli zake na washirika wake zisikwame. Hivyo sio chama cha moyoni hata kidogo bali kuna uanachama wa maslahi.
Watu kama Mbowe, Baregu, Lissu, Mdee, Seif nk nk ambao kwa nafasi na taaluma zao wangeweza kuwa ccm na maisha yakasonga mbele lakini kila siku wanapambana na virungu na mabomu na hawaachi ni wa kuwaangalia mara mbili mbili na kuwakubali kuwa ni wazalendo halisi sio maslahi.
Hebu watuambie, mtu kama Lissu leo akisema nahamia CCM sii itakuwa sherehe na pengine yaweza kufanywa siku ya mapumziko kitaifa?
 
Ninachoamini tunahitaji sana upinzani makini ili nchi hii isonge mbele. Wala tusidanganyike kuwa Mawazo ya upande mmoja yatajenga nchi. Mawazo mbadala ni muhimu mno katika kuongoza walio madarakani kujitafakari,kujikosoa na kuamsha fikra mpya ilikuleta mabadiliko. Hivyo ni muhimu chadema kujipanga kifikra na kimtazamo ili waweze kuja na mbinu mpya za ki upinzani zitakazo wasaidia kuleta kasi ya mabadiliko na hatimaye kushika dola kama wanahitaji.

Kwa mtu makini sio vyema kubeza upinzani, muhimu ni kujenga hoja zitakazo wa saidia waende mbele. Tunawahitaji sana kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom