Ukawa ni janga sugu la wazawa hafai kabisa.
Janga kuu ni CCM,Miaka 50 ya uhuru akina mama wanajifungulia kwenye sakafu wakati MACCM mnafanya shopping Dubai,mmewanyima Watanzania Elimu ili mtumie ujinga wao kwa kuwanunulia kanga na kuwahonga elfu tano.CCM ni zaidi ya ukoma.
Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa madaraka.
Makamba alitoa kauli hiyo katika viwanja vya Barafu mjini Dodoma wakati akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde. January alisema kuwa Lowassa ameivuruga demokrasia ndani ya Chadema na kupeleka mizengwe itakayokiua chama hicho na umoja wao.
Yale siyo mabadiliko kama wanavyojinadi bali ni uroho wa madaraka kwa mtu mwenye uroho na chama chenye uroho, lakini hawezi na hawawezi kushika madaraka ya kuongoza nchi, alisema Makamba.
Alisema kinachoendelea kwa vyama vinavyounda Ukawa ni maigizo na siyo mabadiliko ya kweli kwa sababu mgombea urais ametoka CCM na Sera za CCM na mgombea mwenza ametoka CUF na sera za huko, hivyo hawawezi kuungana kwa pamoja kwa sababu hawajui nini maana ya kile wanachogombea.
Hata hivyo, Makamba alikiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi na akawataka wana CCM kujiandaa kikamilifu.
Alisema CCM kinapaswa kuwa makini na imara wakati wote ili kutoyumba na wakifanya hivyo watajikuta wanapata mchanganyiko ambao utaleta shida katika maendeleo.
Kwa upande wake mgombea ubunge Mavunde alijipachika jina la Mr Makao akisema lazima ataipelekea Dodoma
hadhi ya kweli katika kufikia makao ambayo yamekuwa yakisemwa kama hisani.
Mavunde aliomba wananchi kumwamini na kumpa nafasi hiyo kwani ana uhakika kwa miaka mitano ataifanya Dodoma kupaa kiuchumi huku akisema atashughulika na watu wenye kipato cha chini pamoja na kumaliza migogoro ya ardhi.

Magufuli Oyeee. Hata sisi UKAWA tunamkubali bali Mzee Lowassa tunamzuga ili tule hela yake anayoturudishia kiaina. Upo hapo
Haujui tofauti ya uzito na wepesi wa hoja....
Janga kuu ni CCM,Miaka 50 ya uhuru akina mama wanajifungulia kwenye sakafu wakati MACCM mnafanya shopping Dubai,mmewanyima Watanzania Elimu ili mtumie ujinga wao kwa kuwanunulia kanga na kuwahonga elfu tano.CCM ni zaidi ya ukoma.
Yaonekana una akili kwenye visigino.
Kama ni uroho wa madaraka kwanini yeye januanry aligombea uraisi? Kwanini aliwawekea mapingamizi wengine, si angeacha na kupambana na wapinzani wake kwenye sanduku la kura