UKAWA yaaibika Dodoma

UKAWA yaaibika Dodoma

Magufuli Oyeee. Hata sisi UKAWA tunamkubali bali Mzee Lowassa tunamzuga ili tule hela yake anayoturudishia kiaina. Upo hapo
Punguani mazuzu ndio wanaopata hela ya kuhongwa. Lowasa atapigiwa kura na wenye kuelewa uwezo wake na sio mafisadi uchwara
 
Aibu hapo ni nin? Hivi baba ako alikupeleka shule ili uwe mjinga ama mwerevu?
 
Waroho wa madaraka ni CCM ambao wameongoza for the past 50+ years, lakini pamoja na kushindwa kutuletea maendeleo bado wameng'ang'ania kuongoza.

Tambwe Hiza alisema Magufuli naye ni mroho wa madaraka kwani pamoja na upungufu wa walimu alikimbia kufundisha na sasa anagombea URAIS wa JMT.
 
Nakubaliana na makamba kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana...'ahsante'
 
Makamba pia angefaa kuliko yeroo pia ilikua ni haki yake na uzuri ni mtu muelewa sana! Aya alivyokosa kahama chama!? Kaanzisha chama chake!? Ana makandokando ya kumpoteza akili!?

Point ni uroho wa madaraka kama alikosa urais kwa nn akaenda kugombea ubunge tna na kuwawekea mapingamiz wenzake!afadhali suala la uroho wa madaraka azungumze pinda anaweza eleweka sio uyo makamba apo anatetea ktumbua chake cha uwazir nae ni mroho pia anatka nafas tatu kwa wakat mmoja
 
napenda aliposema uchaguzi wa mwaka huu mgumu hivyo kuwataka wanaccm kujipanga. kumbe anajua kazi ipo mwaka huu. Waanze kujiandaa kisaikolojia kuachia nchi. cha ajabu mkutano wenyeww haukuwa na watu kabisa hii ni dalili mbaya kwa mgombea ubunge wa ccm
 
napenda aliposema uchaguzi wa mwaka huu mgumu hivyo kuwataka wanaccm kujipanga. kumbe anajua kazi ipo mwaka huu. Waanze kujiandaa kisaikolojia kuachia nchi. cha ajabu mkutano wenyeww haukuwa na watu kabisa hii ni dalili mbaya kwa mgombea ubunge wa ccm
Kwani wewe ni Mjinga?
 
Weka na kapicha cha mkutano watu waone umati wa watu kumi. Kigaira Jana kawafunika mbaya. Jimbo linaondoka
 
Back
Top Bottom