UKAWA yaaibika Dodoma

UKAWA yaaibika Dodoma

Serikal kupitia waziri wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta ameomba mdahalo na aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowassa ili wabishane kwa hoja juu ya UHUSIKA wa sakata la RICHMOND.

sijawah kuona popote duniani kumuomba mhalifu anayetuhumiwa mdahalo ili mbivu na mbichi zijulikane, kama waziri SITTA anajua lowasa ni mwizi jukwaa la mdahalo sio suluhu, suluhu ni kumkamata na kumpeleka MAHAKAMANI! kwani kupelekwa mahakaman mpk uwe mwizi wa kuku tu? mbona hatujawah kusikia waziri akiomba mdahalo na mwizi wa simu?

kwanini wanaleta siasa kwenye mambo nyeti kwa TAIFA?

mh. waziri ni mwanasheria kitaaluma, na kwa hili ni kuidhalilisha taaluma ya sheria, MHALIFU huwa anakamatwa na kupelekwa MAHAKAMANI ili haki itendeke.

Tumechoka kuwa nchi ya maajabu, kwasababu ushahidi upo tunaiomba serikali mtuhumiwa Huyo afikishwe court na Sio kutuletea sanaa watanzania.
 
Hii kusema Lowasa anauchu na uroho wa madaraka ni hoja nyepesi. Waje na hoja nyingine
 
Ndio. lowassa n mroho wa madaraka. Kama kweli alikuwa ana nia ya kutaka mabadiriko kwann asingehama hapo awali kabla ya kukatwa na CCM? Na kama asingekatwa, angeongea matapishi anayoongea jukwaani kpnd hik?!
 
Huyo naye hebu akakune kile kipara chake kinachowasha huko
 
wameaibika kivip sasa hapoooooo???? mm nilijua wamefanya mambo ya ajabu kumbe ni vijimaneno vya mtoto wa Makamba
 
Kama ni uroho wa madaraka kwanini yeye januanry aligombea uraisi? Kwanini aliwawekea mapingamizi wengine, si angeacha na kupambana na wapinzani wake kwenye sanduku la kura
Makamba pia angefaa kuliko yeroo pia ilikua ni haki yake na uzuri ni mtu muelewa sana! Aya alivyokosa kahama chama!? Kaanzisha chama chake!? Ana makandokando ya kumpoteza akili!?
 
Yeye alipo omba ridhaa ya chama kumteua alitaka nini??aache kutuhadaa lowasa katikisa chama hata mkwere analifahamu hilo😛😱

Atikise chama wakati yupo nje ya box kitambo! Kapunguza nn!?
 
Makamba asinge kuwa boya asinge asinge fanya siasa kama baba yake kwa sababu ni mlafi ndio maana ameona alambe matapishi ya baba yake!
 
Konyo tuhuyu hanajipya akamtunze babake na alinde ndoa take aache michepuko tutamlipua
 
Mabwabwaaa wa chalichalimike wanahahaaa na lowassa mtashaa mtasoma namba
 
University Task Force
UNIVERSITY TASK FORCE(UTF)
Hawa ni Wasomi wanaomuunga mkono Dr. John
Pombe Magufuli pamoja na ngazi zote za
uongozi( ubunge na udiwani)
: Ni wasomi wa kitanzania wanaojitambua,k
ujielewa na walioamua kukiunga mkono chama
chao (CCM) katika mbio za Urais, Ubunge na
Udiwani ili kuleta maendeleo na kuondoa
changamoto za wananchi katika Taifa letu.
: UTF ina mikakati ya kuwafikia watanzania wa
rika zote wanaostahili kupiga kura, kufanya
maamuzi sahihi ya kuchagua kiongozi/ viongozi
bora,waadilifu,waaminifu, watenda haki,watetea
wanyonge na wenye kujali maendeleo ya nchi na
kuifikisha nchi yetu pahala panapostahili
kimaendeleo.
: Wasomi wote watanzania ruksa kujiunga nasi
bila kujali ngazi ya elimu,itikati ya chama chako
ila uwe unamuunga mkono Dr. John Pombe
Magufuli kwa namna yoyote ile maana wengine
wako vyama tofauti lakin wanajua
uchapakazi,uadilifu,uteteaji wanyonge wa
Magufuli na wenye imani na Dr. John Pombe
Magufuli.
: Ukitaka kujiunga nasi
Tu follow
Instagram page
University_task_force
Twitter page
University Task Force@UniversityTF
Email.universitytaskforce@gmail.com
WhatSapp
+255 655248822
 
Hakuna mgombea ambaye hana uroho wa madarka akiwamo na January Makamba mwenyewe, hizi ndiyo siasa za ccm na hasa wakizidiwa kuchafua wengine.

Watanzani wameshaelewa upuuzi wa wanaccm na hasa wanapozidiwa ni kuchafua wapinzani wao tena kwa mambo mabaya na kusahau kuwa ubaya wa hao walifanya kwa pamoja.
Kama Lowassa ni mroho wa madaraka Magufuli amekuwa mbunge miaka 20 leo anataka urais hiii ni nini?
CCM kimekuwa madarakani na watu wake miaka takribani 38 na bado wanatoa povu kwa wapinzani wake ili waendelee kuwa madarakani huu si uroho wa madaraka?

Hebu jikiteni kwenye hoja si kuongelea mambo ya kipuuzi ambayo mwisho wake mnajisema wenyewe!!!
 
Makamba wewe na baba yako ndo walafi wa madaraka. Na mtashindwa tu, kwasababu hamna namna
 
Magufuli Oyeee. Hata sisi UKAWA tunamkubali bali Mzee Lowassa tunamzuga ili tule hela yake anayoturudishia kiaina. Upo hapo

Labda wewe na mamako ndo mnamzuga lkn ss tulio wengi tumejitoa ccm..alipo tupo..kula ccm kura Ukawa upo hapo mkuu..tukutane October. .hatuhongeki na tutasimamia kura..hatuondoki vituoni..mpk kieleweke!
 
Back
Top Bottom