Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,126
- 6,764
Mkuu unaweza kuwa mkweli.Hiyo ni janja ya nyani kuala indi bichi.....watakuja kutoa kibali siku ya ijumaa.
Mkuu unaweza kuwa mkweli.Hiyo ni janja ya nyani kuala indi bichi.....watakuja kutoa kibali siku ya ijumaa.
hivi kwa nini ccm walikubali DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI?
Aisee....Huku sasa ni kuminya demokrasia...
Kama mamlaka wa jiji hawana mamlaka juu ya uwanja wa Jangwani, kwanini CDM walienda kuwaomba ruhusa ya kutumia uwanja huo in the first place?
Kwanini UKAWA wasingebook huo uwanja mapema?...Je wanaosadikiwa kupewa uwanja huo ni chama cha siasa kingine au kikundi fulani kwa ajili shughuli nyingine tofauti na siasa?
Nimesikia kuwa UKAWA wanamsikilizia Lubuva, hii tume ndio hiyo iliyotoa amri kuwa Lowassa asitembelee makundi ya watu kwa sababu ya kuwa na 'sura ya kampeni'.....Hivi kuna uwezekano wa kupata haki huko?
Naamini Tume ya Uchaguzi inaelewa mchezo mzima...na kuwa Tume na Jiji lao moja...wote wanapata maagizo kutoka 'mamlaka ya juu'....naenda mbali kuamini kuwa Tume, Jiji, Polisi, Usalama wa taifa wote lao moja....Kubana 'mabawa' ya Upinzani....
Katika mazingira hayo kuna uwezekano kweli wa CDM kupewa uwanja huo?...
Sisi wala hatuna tatizo, tutawasubiri tu kwa roho kwatu, msiingie mtego wa ccm wa kutokufanya mkutano pale kwa kuogopa nyomi yetu ambayo itafunga matumizi ya bararara ya morogoro. Sababu maamuzi ya kuiondoa CCM tulikwisha fanya kitambo sana. Magufuli yeye ni kama anatupigia mbuzi gitaa tu na viahadi vyake vya uongo uongo visivyotekelezeka katika mfumo dhalimu na uliokosa maono wa ccm.
Wadau mnasemaje???
Ratiba ya kampeni za uraisi kwa vyama vyote muda, siku, tarehe na mahali itakapofayika yameshaidhinishwa tayari na tume ya uchaguzi na kuridhiwa na vyama vyote. Ni uwendawazimu tu wa wachache kuwa eti kiwanja kimna matumizi mengine.
Ni ukweli siyo uongo!!!
Ni kweli kabisa tafuteni sehemu nyingine anzieni moshi au Arusha si lazima Dar kwanza mna hatarisha amani!View attachment 280563
Unajaribu kupunguza mafuriko kwa ulimi siyo. Mkutano ni kama ulivyopangwa na hakuna wa kubadilisha, ila nakupongeza kidogo wewe una kaelimu ka uspindoctor.Sisi wala hatuna tatizo, tutawasubiri tu kwa roho kwatu, msiingie mtego wa ccm wa kutokufanya mkutano pale kwa kuogopa nyomi yetu ambayo itafunga matumizi ya bararara ya morogoro. Sababu maamuzi ya kuiondoa CCM tulikwisha fanya kitambo sana. Magufuli yeye ni kama anatupigia mbuzi gitaa tu na viahadi vyake vya uongo uongo visivyotekelezeka katika mfumo dhalimu na uliokosa maono wa ccm.
Wadau mnasemaje???
kuomba Kumbi za mikutano au viwanja vya kufanyia shughuli hutakiwa kuombwa mapema sababu ni maeneo ya shughuli nyingi.Chadema waliandika barua tarehe 22/8/2015 kuomba kufanya tarehe 29/8/2015.Walichelewa wakauta mwingine kachukua.Hata kumbi tu za mahoteli huwezi omba kipindi kifupi hivyo ukapata
Ushahidi hii barua hii waliyojibiwa
kuomba Kumbi za mikutano au viwanja vya kufanyia shughuli hutakiwa kuombwa mapema sababu ni maeneo ya shughuli nyingi.Chadema waliandika barua tarehe 22/8/2015 kuomba kufanya tarehe 29/8/2015.Walichelewa wakauta mwingine kachukua.Hata kumbi tu za mahoteli huwezi omba kipindi kifupi hivyo ukapata
Ushahidi hii barua hii waliyojibiwa
Hivi chadema jumamosi ni official day au ni barua tu iliandikwa kwa dharura