UKAWA Wavunjika Rasmi

Kumbe nawe ni mmoja wao?
Mkuu, mimi sizungushi mikono, wala sivai njano na kijani. Siendeshwi na siasa za maji taka kama wewe na wenzako mnaotegemea kuwakuna mabwana zenu matumbo ili mle.
 
MBONA Hata Ukoo Wenu Umevunjika, Hata Muungano Wenu UNAELEKEA Huko Pia, Sasa Mnashangaa Kuvunjwa Au Kuvunjika Kwa UKAWA!!!??
 
walipobadili gear angani ndipo "mlalo wa mende" ulipoanzia.
 
Kwani MoU ya UKAWA ilisema nini? Sidhani kama ilikuwa na kipengele cha kuendelea na uwepo wa ushirikiano huo baada ya Uchaguzi huo wa 2015 kama watashindwa. Mwenye MoU hii atuwekee hapa. So James Mbatia and Maalim Seif are correct.
 

Wasaidie hawa wenzako wanaomba msaada, wamewapigia kampeni mnawatelekeza.
 
Mkuu, mimi sizungushi mikono, wala sivai njano na kijani. Siendeshwi na siasa za maji taka kama wewe na wenzako mnaotegemea kuwakuna mabwana zenu matumbo ili mle.
Siasa safi hazina nafasi kwa taifa hili, Hizi siasa maji taka ndo siasa zetu mkuu Na waanzilishi wa siasa hizi ni kina lizaboni, tumechoka tumeamua liwako Na liwe maana hakuna namna
 
mtoa mada angeitendea haki elimu aliyonayo..
"Kila mtu hana hatia hadi pale mahakama inapomtia hatiani"..
Lowassa ni fisadi kwa mujibu wa hukumu namba ngapi ya mahakama gani ?
au unaweza kutusaidia kujua ni shilingi ngapi Lowassa ametafuna ?
Kwa nini alieisababishia wizara hasara ya bilioni 900 usimtaje ?
akafunga kazi kwa kivuko kibovu cha bilioni 6 tena cha mwaka 78.
 
Hapa watu wamejawa na mapovu mdomoni acha kabisa wanatamani kulaani mtu.
 
Umeingiza posho kwa maagizo ya Lumumba. Inaeleweka UKAWA ni mchongoma kwenye kinyeo cha CCM.

Hivi mchonganishi na mfitini ili mambo ya jirani yasambaratike ana mini cha kijipima mbele ya haki.

Haya tuseme UKAWA imesambaratika ni mini faida kwa nchi yetu?

Tuache hayo, hakuna kinachoendelea Zanzibar bila kikao au tamko la UKAWA.
Unastahili kupuuzwa lakini kuachwa hivi kutakufanya ujione keki kumbe ni jivi.
 
Umemaliza?
 
Hakuna kisichokufa hata CCM itakufa na wewe utakufa hata mimimi hivyohivyoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…