Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
What is your point, exactly? There is only one position of president and not everyone can be president.Ni political frustration.
Wengi baada ya kuona kuwa kila wakigombea uraisi wanaona wanashindwa sasa wanataka kwenda kugombea ubunge.Hiyo ni gia ya kutoroka kugombea uraisi waende kugombea ubunge.Wameona kuwaambia wananchi kuwa ugombea uraisi umetushinda wameona aibu.Wakaona wasingizie hilo.Anyway karibuni majimboni.Nyerere aliwaambia vyama vya upinzani bado havijafikia kugombea uraisi mkambishia.Haya leo yako wapi wenyewe mnakimbilia majimboni kugombea ubunge.Uraisi sio lelemama.
Ni kawaida kwa makabila mengi mtu mzima akienda kujisaidia porini huaga kuwa anaenda kuangalia mitego ya wanyama aliyotega.
Swali ni je, ni nani atakuwa mgombea Urais na atatoka chama gani?
punguza hofu!Swali ni je, ni nani atakuwa mgoppmbea Urais na atatoka chama gani?
Ni political frustration.
Wengi baada ya kuona kuwa kila wakigombea uraisi wanaona wanashindwa sasa wanataka kwenda kugombea ubunge.Hiyo ni gia ya kutoroka kugombea uraisi waende kugombea ubunge.Wameona kuwaambia wananchi kuwa ugombea uraisi umetushinda wameona aibu.Wakaona wasingizie hilo.Anyway karibuni majimboni.Nyerere aliwaambia vyama vya upinzani bado havijafikia kugombea uraisi mkambishia.Haya leo yako wapi wenyewe mnakimbilia majimboni kugombea ubunge.Uraisi sio lelemama.
Ni kawaida kwa makabila mengi mtu mzima akienda kujisaidia porini huaga kuwa anaenda kuangalia mitego ya wanyama aliyotega.
Ukawa msimamisheni jaji warioba kuwa mgombea wa urais kwa ticket ya ukawa kwani yeye ni muadilifu
Hapo ndio kazi ipo.Je awe mkristo au muislamu? Awe Bakwata au Answar Sunna? Awe chama gani? Na gharama zake za kampeni alipe nani au chama gani? Ikifika kuwa labda kila chama kichangie gharama zake za kampeni basio hapo lazima UKAWA usambaratike sababu kila chama kitataka kiwe mweka hazina wa hizo hela za kampeni ili zifisadiwe.Na wakisema kila chama kitoe na kitunze kuna vingine ukiitisha mchango hata wa msiba haviko tayari kutoa hata shilingi mia!
Anyway ni rahisi kusema kuliko kutenda.Hili la mgombea mmoja UKAWA lazima liwasambaratishe likifika kwenye utekelezaji.MARK MY WORDS AND WRITE IN YOUR DIARY.
Waangalie hata nyuso zao tu kwenye picha zinaonyesha urafiki wa mashaka.
At times you feel ilimradi waongee tu hawa viongozi wazamani. Huyu Nassoro Moyo yupo kwenye rekodi akidai yeye has got nothing to lose anymore hila anasaidia mwamko wa vijana kudai tiafa lao.Alisema suala la Wazanzibari kudai mamlaka kamili halikuanza leobalimadai hayo yalianza tangu uhai wa Mzee Abeid Amani Karume, lakini Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alimwambia Karume asubiri wakati utakapowadia madai yao yatafanyiwa kazi.
"Wakati sasa umefika wa Wazanzibari kupata mamlaka kamili na katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba haijazingatia maoni ya Wazanzibari," alisema Moyo.
Alisema zipo kila sababu kwa wananchi kuikataa katiba iliyopendekezwa kwa sababu mambo muhimu wanayoyadai Wazanzibari hayajazingatiwa.