hindikwetu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 251
- 86
Mie sizungumzii hiyo sheria lakini nahisi Lowassa anajiwakilisha yeye,sina.hakika kama anajua yupo chini ya mwamvuli wa ukawa,maana hata wakati wa hotuba yake pale mlimani city,nilimkariri akisema mmekijenga chama....na.yeye kuwa kama.independent,ndo madhara ya kukaribisha mtu direct chumbani ukikuta anajisaidia juu ya kitanda usimlaum kwani inakuwa ugen hajajua wapi chooni,sass ndo Edo hata kusema peoplesssss mpeleken tuition sana,maana Magufuli anajua zaidi yake kusema CCM oyeeeeee hahahhaha ni mawazo yangu nisichukiwe