Ukawa wasipojiangalia watakosa mgombea

Ukawa wasipojiangalia watakosa mgombea

Kwa hiyo wanasheria wote wa cdma akiwemo mabere malando,tundu lisu nk ni wajinga eti?ww ndo unajua sheria kuliko hao eh!!
Ndoroboooooooiioii ww
 
Hivi vyama vinavyounda Umoja wa katiba wa wananchi visiposoma vizuri katiba ya nchi hii ikifika mwisho wa siku tutajikuta tunachagua magufili VS kivuli.
Hii ni kutokana na sheria ya uchaguzi inavyosema kuwa mgombea ana anapaswa kuwa mwanachama wa chama husika kwa muda usiopungua miezi mitatu kabla ya kuanza mchakato wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya uongozi kupitia chama hicho. Mgombea wa UKAWA sidhani kama ata kuwa amekidhi vigezo hivyo ni dhahiri mwisho wa siku UKAWA wakajikuta hawana mgombea heri wamrudishe Dr. Slaa ulingoni.
Wote tunapenda mageuzi tujitahidi kulitafakari hili tuone suluhu itakuwa ni nini ili mwisho wa siku tusije kunaswa kwenye mtego wa CCM
attachment.php
 
Hiyo sheria ya miezi mitatu umeitoa wapi? Majitu mengine mbona ma.pu.MBA.vu hivi? Yaani habari za vijiweni ndo unatuletea humu?!! Wacha hizo wewe!
 
Hivi vyama vinavyounda Umoja wa katiba wa wananchi visiposoma vizuri katiba ya nchi hii ikifika mwisho wa siku tutajikuta tunachagua magufili VS kivuli.
Hii ni kutokana na sheria ya uchaguzi inavyosema kuwa mgombea ana anapaswa kuwa mwanachama wa chama husika kwa muda usiopungua miezi mitatu kabla ya kuanza mchakato wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya uongozi kupitia chama hicho. Mgombea wa UKAWA sidhani kama ata kuwa amekidhi vigezo hivyo ni dhahiri mwisho wa siku UKAWA wakajikuta hawana mgombea heri wamrudishe Dr. Slaa ulingoni.
Wote tunapenda mageuzi tujitahidi kulitafakari hili tuone suluhu itakuwa ni nini ili mwisho wa siku tusije kunaswa kwenye mtego wa CCM

Wajameni hivi sheria ya CDM haina kipindi ambacho mgombea anatakiwa kukidhi akiwa mwanachama hai kabla ya kuomba nafasi ya uongozi???????

Naomba mnijuze wataalamu.

Queen Esther
 
Back
Top Bottom