UKAWA washindwa kukubaliana kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani CCM njia nyeupe!!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,483
2,000
Hatimaye lile genge la wahuni la UKAWA limeshindwa kuelewana katika uchaguzi wa marejeo wa Udiwani na hivyo kila Chama kimesimamisha mgombea katika kila kata.

Hii ni green light kwa CCM na Sina wasiwasi kuwa CCM inaenda kuchukua kata zote yaani ushindi wa kishindo.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,483
2,000
mpuuzi kabisa ndo propaganda mnazopewa Lumumba hizo cuf ya lipumba ndo ukawa haya wahi buku saba fasta
Fact one: Ni kweli kuwa VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA (kila kimoja) vimesimamisha wagombea katika kata zote.

Fact two: Ni kweli hii ni fursa nzuri kwa CCM kushinda kwa kishindo.

Matusi hayatoondoa hizo facts
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,217
2,000
Ungesema tu kuwa Lipumba kasimamisha wagombea kuisaidia CCM, unaposena Ukawa unamaanisha nini wakati unajua tawi lenu la Cuf linaloongozwa na Lipumba ndio limesimamisha wagombea, kwa maana hiyo CCM ndio imesimamisha wagombea wawili kila kata.
 
Ngeda

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
632
1,000
Hatimaye lile genge la wahuni la UKAWA limeshindwa kuelewana katika uchaguzi wa marejeo wa Udiwani na hivyo kila Chama kimesimamisha mgombea katika kila kata.

Hii ni green light kwa CCM na Sina wasiwasi kuwa CCM inaenda kuchukua kata zote yaani ushindi wa kishindo.
Umemwandalia mwandani maji ya kuoga kweli? Ntachelewa sana kuoa
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,483
2,000
Ungesema tu kuwa Lipumba kasimamisha wagombea kuisaidia CCM, unaposena Ukawa unamaanisha nini wakati unajua tawi lenu la Cuf linaloongozwa na Lipumba ndio limesimamisha wagombea, kwa maana hiyo CCM ndio imesimamisha wagombea wawili kila kata.
Kwa hiyo NCCR haijasimamisha?
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,217
2,000
Kwa hiyo NCCR haijasimamisha?
Isimamishe nini? Kwa akili za kawaida NCCR wasimamishe wagombea kwa lipi wakati wanajua kabisa hata huyo Mbatia pekee aliyebaki kama sio Ukawa angekuwa historia tu? Ikitokea mtu yoyote kutoka vyama vya Ukawa akajifanya eti naye anagombea ujue ni mtoto wenu mpendwa sana.
 
Aliyegoma kusaini makubaliano ndani ya Ukawa ni Chadema.
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,217
2,000
Aliyegoma kusaini makubaliano ndani ya Ukawa ni Chadema.
Sasa kweli hata kama ni wewe anakuja mtu eti sijui kutoka NCCR tena hajulikanai ndani ya nyumba 10 ndani ya eneo hilo anataka apewe nafasi ya kugombea na akijua yupo wa Chadema ambaye ni bora mara mia aachwe apewe yeye na hata eneo hilo wengi wa wafuasi ni wa chama hicho.
Kama mnataka hivyo mbona nyinyi kwenye uchaguzi wa ndani mliwapiga chini wale madiwani wa Mnyeti lakini chama kikawarudisha kugombea, je ulijiuliza swali kwani mlifanya vile?
Narudia tena kama kuna NCCR yoyote kwenye kata zote za Arusha pengine nchini anajifanya anataka kugombea ujue huyo ni mtoto wenu mpendwa
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,217
2,000
Lipumba ni mmoja kati ya walioasisi Ukawa, sasa kama ww hautaki lakini historia inamtambua
Kwahiyo kwako wewe kuasisi jambo na baadae kujitoa inakufanya kuwa sehemu ya hilo jambo? Kwani watu wanazungumzia historia ya Ukawa hapa au wanazungumzia ni nani mwana Ukawa? Lipumba mwenyewe alishasema yeye sio sehemu ya Ukawa tangu aliporudi kuivuruga Cuf sasa wewe baki na historia yako ambayo kila mtu anajua Lipumba ni muasisi wa Ukawa ila sio sehemu ya Ukawa kwasasa.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,483
2,000
Sasa kweli hata kama ni wewe anakija mtu eti sijui kutoka NCCR tena hajulikanai ndani ya nyumba 10 ndani ya eneo hilo anataka apewe nafasi ya kugombea na akijua yupo wa Chadema ambaye ni bora mara mia aachwe apewe yeye na hata eneo hilo wengi wa wafuasi ni wa chama hicho.
Kama mnataka hivyo mbona nyinyi kwenye uchaguzi wa ndani mliwaliga chini wale madiwani wa Mnyeti lakini chama kikawarudisha kugombea, je ulijiuliza swali kwani mlifanya vile?
Narudia tena kama kuna NCCR yoyote kwenye kata zote za Arusha pengine nchini anajifanya anataka kugombea ujue huyo ni mtoto wenu mpendwa
Kwa nini hamkusaini MOU katika utekelezaji toka 2015
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,217
2,000
Kwa nini hamkusaini MOU katika utekelezaji toka 2015
Mbona zipo sema wewe huzijui, Nikukumbushe tu kuwa miongoni mwa hayo makubaliano ni pamoja na kusi.amisha mgombea anayekubalika sana kuliko wote ndani ya eneo hilo, na chama chenye mizizi au chenye kukubakika sana ndani ya eneo hilo, sasa wewe unataka kuamini NCCR ni bora kuliko Chadema ndani ya Arusha?
Kama kweli mnaamini yoyote anaweza kugombea kwanini muwapige chini walioshinda kihalali ndani ya chama mkawapitisha walioshindwa kihalali kwenye uchaguzi wa chama?
 
mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,309
2,000
Hatimaye lile genge la wahuni la UKAWA limeshindwa kuelewana katika uchaguzi wa marejeo wa Udiwani na hivyo kila Chama kimesimamisha mgombea katika kila kata.

Hii ni green light kwa CCM na Sina wasiwasi kuwa CCM inaenda kuchukua kata zote yaani ushindi wa kishindo.
CCM hushinda kwa sababu ya akili za aina ya akina jingalao.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,483
2,000
Mbona zipo sema wewe huzijui, Nikukumbushe tu kuwa miongoni mwa hayo makubaliano ni pamoja na kusi.amisha mgombea anayekubalika sana kuliko wote ndani ya eneo hilo, na chama chenye mizizi au chenye kukubakika sana ndani ya eneo hilo, sasa wewe unataka kuamini NCCR ni bora kuliko Chadema ndani ya Arusha?
Kama kweli mnaamini yoyote anaweza kugombea kwanini muwapige chini walioshinda kihalali ndani ya chama mkawapitisha walioshindwa kihalali kwenye uchaguzi wa chama?
Ni maeneo gani Cuf na NCCR ni bora?Je huko nako mmeingilia na kusimamisha wagombea wasiokubalika wa Chadema?Je mmefanya hivyo kama vibaraka wa CCM?
 
Danny Jully

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,415
2,000
Hatimaye lile genge la wahuni la UKAWA limeshindwa kuelewana katika uchaguzi wa marejeo wa Udiwani na hivyo kila Chama kimesimamisha mgombea katika kila kata.

Hii ni green light kwa CCM na Sina wasiwasi kuwa CCM inaenda kuchukua kata zote yaani ushindi wa kishindo.
Wewe Jinga uwe na adabu basi. UKAWA siyo genge la.wahuni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom