Kweli. Ila kwa vile spika anahitaji theluthi mbili (kura 245/368), UKAWA wanaweza kukwamisha chaguo la spika wa CCM endapo wote kwa umoja wao watazidi theluthi moja hata kwa kura moja. Wanahitaji tu kuwanunua wabunge watano wa CCM. Cc Violspika lazima apate theluthi mbili ya kura zote . ina maana majimbo yaliyokwisha fanya uchaguzi ni 257 ongeza wa kuteuliwa mmoja aliyeteuliwa leo , viti maalum 110, jumla 368. wale watano toka zanzibar bado mchakato wake haujakamilika.
2/3 ya 368 ni 245. Hivyo spika inabidi apate kura 245. Hivyo ili ukawa washinde nafasi hiyo wanahitaji kuwanunua wabunge wa ccm 128 kwani wao 117 ukijumlisha na 128 itafikia theluthi mbili.
Vivyo hivyo kwa upande wa Ccm, siyo wote watakaompigia kura mgombea wao..
kwa kanuni hizo Ukawa tunahitaji wabunge 71 toka ccm tupate spika
Kuna aliyesema UKAWA wanahitaji wabunge 128 toka ccm
Zisipo patikana, WAMEIBA, au!
Kweli. Ila kwa vile spika anahitaji theluthi mbili (kura 245/368), UKAWA wanaweza kukwamisha chaguo la spika wa CCM endapo wote kwa umoja wao watazidi theluthi moja hata kwa kura moja. Wanahitaji tu kuwanunua wabunge watano wa CCM. Cc Viol
Jumla ya MAGAMBAS NI NGAP??
Spika anachaguliwa kwa wingi wa kura siyo 2/3.
Kwa hiyo UKAWA wanahitaji kura 70 za ccm ili wapate spika.