UKAWA wanahitaji kura ngapi watoe Spika wa Bunge?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Wakuu nataka kufahamu, je kwa idadi ya wabunge wa UKAWA walioshinda kwenye uchaguzi pamoja na wale wa viti maalum, katika kupendekeza mgombea uspika watahitaji kura za wabunge wangapi toka CCM?
 
spika lazima apate theluthi mbili ya kura zote . ina maana majimbo yaliyokwisha fanya uchaguzi ni 257 ongeza wa kuteuliwa mmoja aliyeteuliwa leo , viti maalum 110, jumla 368. wale watano toka zanzibar bado mchakato wake haujakamilika.

2/3 ya 368 ni 245. Hivyo spika inabidi apate kura 245. Hivyo ili ukawa washinde nafasi hiyo wanahitaji kuwanunua wabunge wa ccm 128 kwani wao 117 ukijumlisha na 128 itafikia theluthi mbili.
 
Na haimaanishi kuwa ukawa wote watampigia kura mgombea wao!
No chance!
 
spika lazima apate theluthi mbili ya kura zote . ina maana majimbo yaliyokwisha fanya uchaguzi ni 257 ongeza wa kuteuliwa mmoja aliyeteuliwa leo , viti maalum 110, jumla 368. wale watano toka zanzibar bado mchakato wake haujakamilika.

2/3 ya 368 ni 245. Hivyo spika inabidi apate kura 245. Hivyo ili ukawa washinde nafasi hiyo wanahitaji kuwanunua wabunge wa ccm 128 kwani wao 117 ukijumlisha na 128 itafikia theluthi mbili.

Na vipi ikitokea shilingi ikasimama inakuwaje?

Yaani 2/3 isifike, ikiwa na maana kwamba UKAWA wote (+baadhi ya CCM) wamempigia wa kwao na CCM (pungufu ya 2/3) wakampigia wa kwao hivyo kura za mshindi kutofika 2/3.
 
Naombea timu lowassa walioko CCM WATUPE HATA KURA 45 TUONE HYO 2/3 WATAIPATA VIP??
 
spika lazima apate theluthi mbili ya kura zote . ina maana majimbo yaliyokwisha fanya uchaguzi ni 257 ongeza wa kuteuliwa mmoja aliyeteuliwa leo , viti maalum 110, jumla 368. wale watano toka zanzibar bado mchakato wake haujakamilika.

2/3 ya 368 ni 245. Hivyo spika inabidi apate kura 245. Hivyo ili ukawa washinde nafasi hiyo wanahitaji kuwanunua wabunge wa ccm 128 kwani wao 117 ukijumlisha na 128 itafikia theluthi mbili.

HAIWEZEKANI kupata wabunge 128 wa CCM
 
umesoma kanuni zipi?? rejea kanuni za bungeee 2007
 
Spika anachaguliwa kwa wingi wa kura siyo 2/3.

Kwa hiyo UKAWA wanahitaji kura 70 za ccm ili wapate spika.
 
Wakuu nataka kufahamu, je kwa idadi ya wabunge wa UKAWA walioshinda kwenye uchaguzi pamoja na wale wa viti maalum, katika kupendekeza mgombea uspika watahitaji kura za wabunge wangapi toka CCM?

Kanuni za bunge 2007

13) Mgombea atakuwa amechaguliwa kuwa Spika kama atapata zaidi ya nusu ya kura za Wabunge wote na iwapo hakutakuwa na mgombea aliyepata zaidi ya nusu ya kura hizo, uchaguzi utarudiwa lakini ni wagombea wawili tu waliopata kura nyingi zaidi ndio watakaopigiwa kura, na katika hatua hiyo, mgombea atakayepata kura nyingi zaidi atatangazwa kuwa mshindi.

(14) Endapo wagombea wawili au zaidi watapata kura sawa katika nafasi ya mwanzo, basi wagombea hao tu ndiyo watakaopigiwa kura na mgombea atakayepata kura nyingi zaidi atakuwa ndiye mshindi.

(15) Iwapo wagombea wawili au zaidi watapata kura sawa katika nafasi ya pili na yule wa kwanza hajapata zaidi ya nusu ya kura zilizopigwa, basi wagombea hao wawili pamoja na yule wa kwanza ndio watakaopigiwa kura na mgombea atakayepata kura nyingi zaidi atakuwa ndiye mshindi.

(16) Endapo awamu ya pili ya upigaji kura itashindwa kumpata mshindi, basi Mwenyekiti atapiga kura yake ya uamuzi ili mshindi apatikane.

(17) Endapo kutakuwa na mgombea mmoja tu basi mgombea huyo atapigiwa kura ya ?Ndiyo? au ?Hapana? na atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Spika iwapo atapata kura za ?Ndiyo? za idadi ya zaidi ya nusu ya kura za Wabunge wote.
 
spika lazima apate theluthi mbili ya kura zote . ina maana majimbo yaliyokwisha fanya uchaguzi ni 257 ongeza wa kuteuliwa mmoja aliyeteuliwa leo , viti maalum 110, jumla 368. wale watano toka zanzibar bado mchakato wake haujakamilika.

2/3 ya 368 ni 245. Hivyo spika inabidi apate kura 245. Hivyo ili ukawa washinde nafasi hiyo wanahitaji kuwanunua wabunge wa ccm 128 kwani wao 117 ukijumlisha na 128 itafikia theluthi mbili.

Hivi Spika wa bunge haitaji 2/3 majority of Zanzibar?
 
kwa kanuni hizo Ukawa tunahitaji wabunge 71 toka ccm tupate spika

Hakuna haja ya kujiumiza roho . Wabunge wetu wa UKAWA wajiandae tu kwa michango mizuri bungeni. Maswala ya uspika hesabu imekaa vibaya
 
Kanuni za bunge 2007

13) Mgombea atakuwa amechaguliwa kuwa Spika kama atapata zaidi ya nusu ya kura za Wabunge wote na iwapo hakutakuwa na mgombea aliyepata zaidi ya nusu ya kura hizo, uchaguzi utarudiwa lakini ni wagombea wawili tu waliopata kura nyingi zaidi ndio watakaopigiwa kura, na katika hatua hiyo, mgombea atakayepata kura nyingi zaidi atatangazwa kuwa mshindi.

(14) Endapo wagombea wawili au zaidi watapata kura sawa katika nafasi ya mwanzo, basi wagombea hao tu ndiyo watakaopigiwa kura na mgombea atakayepata kura nyingi zaidi atakuwa ndiye mshindi.

(15) Iwapo wagombea wawili au zaidi watapata kura sawa katika nafasi ya pili na yule wa kwanza hajapata zaidi ya nusu ya kura zilizopigwa, basi wagombea hao wawili pamoja na yule wa kwanza ndio watakaopigiwa kura na mgombea atakayepata kura nyingi zaidi atakuwa ndiye mshindi.

(16) Endapo awamu ya pili ya upigaji kura itashindwa kumpata mshindi, basi Mwenyekiti atapiga kura yake ya uamuzi ili mshindi apatikane.

(17) Endapo kutakuwa na mgombea mmoja tu basi mgombea huyo atapigiwa kura ya ?Ndiyo? au ?Hapana? na atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Spika iwapo atapata kura za ?Ndiyo? za idadi ya zaidi ya nusu ya kura za Wabunge wote.

13)Kwa mantiki hiyo mgombea wa UKAWA iwapo atakutana na wa ccm bado ni ndoto wa UKAWA kupigiwa hizo kura,hizi sheria ni gubu aisee
 
Back
Top Bottom