UKAWA wanafanya Press conference muda huu


umeongea vema sana mkuu lakini kwa kuwa migamba ina akili za kushikiwa haitaelewaj somo.
 

mbona povu? tulia sindano ziingie wewe kibaraka wa magamba.
 
Kila la kheri viongozi wetu. Sisi huku tumejiandaa kwa hali na mali ili oktoba wale kina "Thomaso" waamini "kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.

Thomaso anakuhusu nini wee mkoloni WA mawazo
 

mbona povu? CCM mlizoea kuchakachua kura kupitia NEC, safari hii hamna pa kutokea...magamba wakubwa!
 
UKAWA TUMAINI LETU.tuna imani na ukawa hawa ccm vimeo na hakuna aliyemsafi ndani ya chama chao nawashangaa watu wanatetea ccm sijui wamekula maharage ya wapi hawa.
 
hii nchi ni yakidemokrasia mtu ukitofautiana nae anakutukana kama unataka mawazo yako peke yako tengeneza dunia yako na kama huna hoja kaa pembeni mambo ya matusi hapa sio sehemu yake naomba mode mliangalie hili kuna jamaa anatukana kwasababu tumetofautiana mawazo sio fear kabisa yani
 
mknd wako wewe mkabila na mbaguzi mkubwa! mazezeta kama wewe ndio mnaochelewesha ukombozi wa nchi hii.

endelea kutukana sio itikadi yangu kama mbowe angekua mzalendo basi angeitisha maandamano kwenye jimbo lake lakini hata siku moja hujawahi kusikia kilimanjaro watu wameandamana kwanini jiulize wewe ukipata jibu ndio uje na matusi mengine hapa na kutukana sio hoja hoja ni kuelewa unachokiongea hapa sio facebook kua ndugu.
 
Hahahaa Mzee Makaidi kanichekesha sana,


kicheko kingi mwisho ..................

naendelea kukusifu kijana kwa kujipa moyo. uko sahihi kujipa moyo mwenyewe, maana ukitegemea eti kuna mtu atukupa moyo hutompata. bora uendelee ivo ivo. maana siku za majonzi kwenu zinakaribia.

Phase 1 ya kufyeka fyeka misitu imezaa matunda mazuri kwa kuwachanganya wana ufipa wote na kuwafanya wasambae kama inzi nchi nzima angalau kujiridhisha lakini kwa masikitiko makubwa mapokezi yao haikuwa kama zamani ilivyokuwa.

this show bad future for ur party.

Subiri ngoma irejee kitaa mtawatambua Watanzania ni watu gani
 
Vipi binti hujatoka tu kwenye Siku zako?
 
Mbona Ukawa hawatutajii rais wetu mtarajiwa?

Mambo yalishakuwa kuwa magumu huoni wanapata kigugumizi, cuf wanamtaka lipumba chadema wanamtaka slaa nani amwachie mwenzake ,hapo ndio kwenye utata.
 
ndio wazazibwako.waliyo kukuza nayo so hakuna kingine utakachokikumbuka zaidi ya hayo maharage hakuna mtu mwenye akili zake aubtaahira atakayekubali chadema kua madarakani.................!
Mie mwananchi wa kawaida maharage ndio chakula changu. Na kwa kutambua na mimi nasitahili kula chakula kingine mimeamua kuwang'oa Chama Cha Zamani. Ima sina akili au ninazo. Lakini kwa takwimu za kitaalamu udumavu wa akili ni janga lataifa. Kwa maana hiyo tusio na akili niwengi kiasi cha kutosha kuwang'oa hao wenye kutumia milioni 10 kwa mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…