UKAWA wanafanya Press conference muda huu

Kwani Mbowe sio mwananchi? Na unafikiri Mbowe hapigi kura? Serekali unayotaka imtishie Mbowe ndio hiyo hiyo imeshindwa kutaja majina ya watu waliochukua fedha za Escrow katika bank ya Stanbic kwa marumbesa kinyume na sheria za nchi na bado haijawataja.
 
ndio wazazibwako.waliyo kukuza nayo so hakuna kingine utakachokikumbuka zaidi ya hayo maharage hakuna mtu mwenye akili zake aubtaahira atakayekubali chadema kua madarakani.................!
 
Watupe orodha ya majimbo waliyogawana NCCR ,CUF na NLD wamepata mangapi,waache kupiga piga chenga

Mnataka Majimbo Ya Nini Fuatilieni Ccm Yenu Pamoja Na Mchepuko Wenu, Hii Ukawa Itawafanya Muwe Vichaa.
 
kwani mowekabla hajawa chadema alikua wapi?kura moja haiwezi tishia mamilioni ya kura za watanzania hatuna matatizo na tume ya uchaguzi kama kura zako hazitoshi hawawezi sema zinatosha so akae kimya.......!
 
Sikuelewi hata unaongea nini, halafu unaweza kukuta wewe ni kiongozi mkubwa tu ndani ya ccm!!!!!!!!!!
 
kwani Mbowe siyo mwananchi!?
 
mkuu unamaanisha "wetu"sisi" wengine hatuna viongozi humu usiusemee moyo wa mtu.....!ukawa sera yao ni ccm sisi tunataka sera ya kulikomboa taifa sio sera ya kuzodoa ccm......!

Kuna sehemu umeandika "Sisi wananchi",vipi ulikuwa unausemea moyo wa nani !?
hujielewi wewe.
 
  • Mzee Makaidi: CCM hawana mgombea wote majanga! Ukimuweka huyu EPA, mwingine Escrow, mwingine Kagoda! Wote majanga

    Hii imekaa safi sana hii!!

CCM wameanz kuomba msamaha kwa Ukawa
 
kwani mowekabla hajawa chadema alikua wapi?kura moja haiwezi tishia mamilioni ya kura za watanzania hatuna matatizo na tume ya uchaguzi kama kura zako hazitoshi hawawezi sema zinatosha so akae kimya.......!
Wewe na nani?
Na hawa hapa?
 
  • Mzee Makaidi: CCM hawana mgombea wote majanga! Ukimuweka huyu EPA, mwingine Escrow, mwingine Kagoda! Wote majanga

    Hii imekaa safi sana hii!!

huyu mzee kachanganyikiwa au anajitoa ufahamu tu hajui kua hata wao kama ukawa wakisimamisha mgombea ni sawa na ccm wamesimamisha maana wao wote wmelelewa na ccm au hilo halijui?
 
  • Mzee Makaidi: CCM hawana mgombea wote majanga! Ukimuweka huyu EPA, mwingine Escrow, mwingine Kagoda! Wote majanga

    Hii imekaa safi sana hii!!

Kauli hii itawaumiza sana vichwa Lumumba na kuzidi kuwachanganya.
 
Mzee Makaidi: CCM hawana mgombea wote majanga! Ukimuweka huyu EPA, mwingine Escrow, mwingine Kagoda! Wote majanga
 
Ukawa watuambie kwa nini jana Mbatia na wajumbe wa NCCR Mageuzi walitoka nje ya kikao kwa hasira kabla hakijamalizika.

kumbe ulikuwepo? kwanini hukuwauliza unakuja kuuliza humu? wewe ni mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…