UKAWA wanafanya Press conference muda huu

CCM mwaka huu wako njia panda maana wana kazi ya kumpata mgombea atakaye uzika na asiye na kashfa, UKAWA hakuna kulala mshikamano hadi octoba
 
Laki sipesa upo ccm au ccm b aka act wasaliti? embu kuwamuwazi buku 7 unalipiwa lumumba au team wasaliti?
 

mbowe ni nani mpaka awe na imani na tume ya uchaguzi? sisi wananchi ndio tunatakiwa kusema kua hatunaimani na tume kwasababu kura tume wanazohesabu sio za mbowe wala ccm ni zakwetu wananchi na kwanini mbowe anatishia tishia nchi kitoto hivi?serikali ipo wapi?????
 
Kila la kheri viongozi wetu. Sisi huku tumejiandaa kwa hali na mali ili oktoba wale kina "Thomaso" waamini "kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.

mkuu unamaanisha "wetu"sisi" wengine hatuna viongozi humu usiusemee moyo wa mtu.....!ukawa sera yao ni ccm sisi tunataka sera ya kulikomboa taifa sio sera ya kuzodoa ccm......!
 

toa na kirefu cha ukawa mkuu ukishindwa tukusaidie.........!
 
Mbona Ukawa hawatutajii rais wetu mtarajiwa?
 

UKAWA= UJINGA KAWAIDA YA WAPINZANI ukija hapa ukileta point zako za kitoto tutaenda kitoto hivyo hivyo ndugu
 
When able to Attack; We must seem Unable
When using our Forces; We must seem inactive
When we are Near; We must make enemy believe we are far Away
When far Away; We must make him believe we are Near

HOLD OUT BAITS TO ENTICE THE ENEMY, FEIGN DISORDER, AND CRUSH HIM.
 
Wananchi wenyewe kama wewe?
 
Ukawa watuambie kwa nini jana Mbatia na wajumbe wa NCCR Mageuzi walitoka nje ya kikao kwa hasira kabla hakijamalizika.

Wakati wenye nyumba wamelala zao usingizi mtamu, wanga hulala nje wakisubiri nyumba zigeuke zao
 

Hapo Jiwe limesimama...UKAWA ni jiwe ambalo CCM watajikwaa na hawataisahau historia itakayolifikia taifa kuanzia Oktoba 2015.

Mzee Makaidi, hapo kagusa pahala pake...Kila mtarajiwa ndani ya CCM ni victim 'mwathirika' wa Udhalimu kwa Taifa. Tunamwomba Mzee Makaidi asihofu...atambue kuwa manifesto ya UKAWA lazima ihakikishe kuwa kila atakayechomoza ndani ya CCM kama mgombea, analo debe la moto kichwani tayari...ufisadi, ufisadi...CCM hawachomoki!!
 
mkuu unamaanisha "wetu"sisi" wengine hatuna viongozi humu usiusemee moyo wa mtu.....!ukawa sera yao ni ccm sisi tunataka sera ya kulikomboa taifa sio sera ya kuzodoa ccm......!
Kiongozi mbona unakuwa kidaka Tonge. Kama unasema "mimi" kwa kusema oktoba kuna mabadiliko nakosea kwani sina mamlaka ya kuwasemea watu (na nafsi zao). Kwani wewe kwa kukataa huwasemia watu? Maana wewe ni mtu 1 wengine unauhakika ganikama wapo na wewe? Punguza kula maharage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…