Kilichofanyika na sita na vijisent ni sawa sawa dr upewe kazi ya kupunguza uzito mtu mwenye kilo nyingi badala ya kumfanyisha mazoezi apungue wewe unamkata kichwa alafu unasema ameshapungua kilo kumi ndicho alichofanya vijisent na sita
Several years old, you?
Kwa hiyo wanaodharau Mahakama ndio wana akili?
Ukijadili hoja utafanya la maana sana, sidhani kama na wewe ni mwana-UKAWA!!
si rahisi kwa binadamu aliyejidharau nafsi yake kuheshimu mamlaka zilizopo, UKAWA wameshadharau utu wao kama watanzania, hawaoni faida ya kuheshimu mamlaka zilizopo, hawa watu ni wa kupuuzwa toka mwanzo
Mahakama mbona ilishamaliza kazi siku nyingi sana na kuweka bayana kuwa bunge kazi yake inatakiwa ijadili rasimu peke yake na si vinginevyo