UKAWA wana jambo la kujifunza kutoka CCM

UKAWA wana jambo la kujifunza kutoka CCM

kasalanga

Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Raisi na viongozi wanaotafutwa wawe kutoka CCM au UKAWA bado watakuwa viongozi wetu wote watanzania.

Lakini CCM alikuwepo Ben Mkapa, akapiga miaka kumi, akafuata ,kikwete naye anaondoka lakini kwa miaka hiyo yote wapinzani wanaogombea nafasi za juu Majina ni yale yale.kama ndani ya vyama ufinyu wa demokrasia ni huo hivi kweli mkipewa nchi itakuwaje.

Pamoja na yote ambayo CCM wanatuhumiwa lakini UKAWA kubarini walau kuna jambo la kujifunza hapa
 
Inawezekana UKAWA bado wanatambua utakatifu na ukubwa wa majukumu ya kuwa Rais wa nchi ndio sababu hawakimbilii huko. Jambo kubwa UKAWA wanapaswa kujifunza kutoka CCM ni kuwa 'kichwa kikioza mwili wote huoza'.
 
Yule jamaa wa mamvi tangu mwaka 95 anaulilia urais huoni hapo au ?
 
UKAWA ni kikundi cha wanaharakati wanaosaka madaraka kwa udi na uvumba.
 
Chama kinajiita Chama Cha Demokrasia wakati mwanachama ukitaka kuwania nafasi ya uongozi (kupitia sanduku la kura) basi unaitwa msaliti, mhaini na unafukuzwa uanachama...Stupid opposition hakuna kitu humo! Bora chadema ingebadili jina
 
Raisi na viongozi wanaotafutwa wawe kutoka CCM au UKAWA bado watakuwa viongozi wetu wote watanzania.

Lakini CCM alikuwepo Ben Mkapa, akapiga miaka kumi, akafuata ,kikwete naye anaondoka lakini kwa miaka hiyo yote wapinzani wanaogombea nafasi za juu Majina ni yale yale.kama ndani ya vyama ufinyu wa demokrasia ni huo hivi kweli mkipewa nchi itakuwaje.

Pamoja na yote ambayo CCM wanatuhumiwa lakini UKAWA kubarini walau kuna jambo la kujifunza hapa

Hizi akili za watanzania ni shidaaa. Muwe mnafikiria kabla ya kupost jamani. Kuna mtu kishaongoza nchi hapo? Hivi ukiwa hujafanikiwa targets zako katika maisha unaweza kata tamaa? Utakuwa mjinga ukifanya hivo. Ndo maana ya kuona hali hiyo ikiendelea sababu, target za waanzilishi ni kushika dola na hawajashika hiyo dola bado, unataka wafanyeje? Kuna mifano mingine butu, tusiende shule kutafuta ujinga bali tuchambue mambo
 
UKAWA ni kikundi cha wanaharakati wanaosaka madaraka kwa udi na uvumba.
CCM ni nini sasa? watu hawawezi kudeliver kwa wananchi, bado wanang'ang'ania kukaa madarakani, si waachie? Au CCM wao wanatafuta nini, biashara au madaraka?
 
Back
Top Bottom